nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kufuatia nguvu inayotumika kuua sifa nzuri za Magufuli, tutgemee nini Watanzania?

    Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli. Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya...
  2. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji ipo kwenye hali nzuri kabisa kwa Tsh 2,200,000 tu

    Habari za leo wakuu, Nauza
  3. MagariTanzania

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba Nzuri ya Ghorofa Inakodishwa Bahari Zoo Tegeta

    In Vyumba sita vya kulala Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni Ukumbi/sebule (Living room) Jiko Ukumbi wa kulia (Dining room) Store Sehemu Ya kuogea (Jumla) Choo (Jumla) Ukubwa. Uwanja mkubwa karibu heka 1 wenye miti ya kuvuli. Kwa habari Zaidi kuhusu Kodi...
  4. lucas more

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri Dodoma

    Habari Great thinkers Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc) Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake Au kama kuna fursa nyingine nzuri tujuzane. Asanteni
  5. Regent

    JamiiForums Tanzania Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

    RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ipi bia ya asili yenye packaging na ladha nzuri?

    Habari wakuu. Naomba mwenye kujua anijuze ni ipi bia ya asili (local beer) ambayo iko packaged kwenye chupa na ina ladha nzuri. Naijua Chibuku tu lakini kwa mikoani naona imeshindwa kupata soko. Nina visehemu vya biashara ya kinywaji maeneo ya watu wa kipato kidogo naangalia product ya nzuri ya...
  8. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya TCRA hii huduma yenu nzuri sana ila tunaomba muwe mnatupa mrejesho katika hili

    Wadau mmeona eehh Uzi teyari ..!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Katika cover zote nilizo wahi kusikiliza basi hii ndio cover nzuri kuliko zote hapa bongo

    Habari za leo wakuu, Katika cover zote ambazo nimewahi kuzisikiliza basi hii ndio cover nzuri kuliko zote hapa bongo.
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania App gani ni nzuri Playstore ya kuangalia matukio live hasa la leo

    Naomba kufahamishwa app nzuri ya moja ya tv zetu ni nzuri kwa kuangalia tv kwenye simu,app nyingine hata hazieleweki unapoteza mb kudownload lakini unakuta zinasumbua.
  11. Fundi George

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji fundi umeme wa nyumba ya ndoto yako

    Tv showcase iliyofanyiwa design ya umeme kwa kazi nzuri kama hizi wasiliana na Fundi George 0622313163 0622313163 tunapatikana Dar es salaam.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ukipokea Taarifa nzuri au mbaya Usiku kupitia Television Usingizi nao unakata ghafla na Unakesha tu?

    Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.
  13. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    Mnamkumbuka kwenye stori ya Khumbu niliwaambia nikiwa Durban kuna wasichana takribani 5 nilijihusisha nao ukiachilia Khumbu? Sasa kulikuwa na kasichana kamoja english figure, kilikuwa na ngozi nzuri balaa. Ukikavua nguo huchoki kukaangalia. Kalikuwa na mvuto wa ajabu. Kalikuwa na ngozi kama...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Anjella kweli ana sauti nzuri

    Wazee wenzangu tumepata binti mwenye sauti real. Huyu Ajella nimefuatilia alivyokuwa akiimba cover na single yake aliyoitoa juzi. Kweli huyu binti sauti yake ipo vizuri. Mimi ninamsihi aendelee kuwa mnyenyekevu atafika mbali sana. Wasanii wengi hawawezi kuimba live. But Anjella anaweza...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa App nzuri ya muziki

    Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta kimakosa jina nilikuwa silijui
  16. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Habari wanajukwaa naomba kufaham pikipiki nzuri mpya kwa matumizi binafsi ya kwenda ofisini na mizunguko ya kawaida weekend. Hasa pkpk za kijapan ambazo nadhani ni durable bajeti yangu ni 3.2-3.5 million. Karibuni kwa mani yenu.
  17. E

    JamiiForums Tanzania Shahada gani ni nzuri kati ya hizi wakuu (Rahisi kujiajiri na kuajiriwa)?

    Habari za leo wakuu, Kuna ndugu yangu anataka kujiunga na Masomo ya shahada (Bachelor). Ana machaguo yafuatayo na anatakiwa kuchagua moja kati ya haya. 1. Bachelor of Commerce 2. Bachelor of Computer Applications 3. Bachelor of Commerce 4. Bachelor of Business Administration Sasa wakuu kati...
  18. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Toyota Noah Old Model, 4doors, ipi ni nzuri kwa kupiga ruti za mikoani to Dar

    wanajamvi nataka ninunue toyota noah old model, milango minne, ili niwe nabeba abiria mbeya to Dar, sasa nasikie kuna aina nyingi za toyota noah. Mfano, field tour, town ace, super lymo extra nk, Sr40, Sr 50, Ipi ni nzuri kwa uimara, kusevu mafuta, uvumilivu kwenye ruti ndefu. Nawasilisha.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

    Habari wakuu. Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua. Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen. Natanguliza shukrani.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Simu nzuri kwa gharama ya laki tatu (300k)

    Habari za weekend, Kwa budget ya Laki tatu (300k) naomba ushauri kwenu ni simu gani nichukue yenye uwezo mzuri wa battery, camera na internal memory kubwa ya kukidhi matumizi ya kawaida.
Back
Top Bottom