Nimesikia jinsi gani wanavyofanya test ya COVID-19/ Corona pale Ujerumani. Ni njia nyepesi unaweza kuifanya kwako nyumbani.
Hapa taarifa:
1) Kwanza chukua chupa cha bia. Fungua na peleka chupa karibu na pua. Je unaweza kunusa kitu? Kama ndiyo, hii ni vizuri. Maana kupotea uwezo wa kunusa ni...