nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngwanakilala

    Kuhakiki taarifa za mpiga kura kwa kutumia simu yako ukiwa nyumbani bila kwenda mahali popote

    Fuata Hatua Zifuatazo Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Kwa Kutumia Simu Yako Ukiwa Nyumbani Bila Kwenda Mahali Popote. Ni vyema kila mtu ahakiki na mwezi wa kumi aende kupiga kura ili kuamua mustakabali wa nchi yetu na future yetu sisi na watoto wetu Chagua namba 9 Chagua namba moja Weka...
  2. Victoire

    Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

    Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi. Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi? This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo...
  3. Parabora

    Kwa yanayoendelea huko nyumbani Tanzania, Nashawishika kuchuku uraia wa huku niliko kwa wazungu

    Pamoja na kwamba niko nje na Tanzania, nafuatilia sana taarifa muhimu zinazohusu nchi yangu, Kutokana na hili janga la corona na kwa jinsi linavyoshughulikiwa Sikuwahi kujua viongozi wa nchi yangu hawana uthamani kwa watu wao kwa kiasi ninachokisikia, BBC Swahili jana wamenifanya nifikiri...
  4. Mshana Jr

    Enjoy this! Dhana asili ya kuchoma UDI na kuvukiza mavumba

    Niwatakie weekend njema! Najua hizi ndio zile tarehe pendwa... Tarehe za kuitwa majina yote matamu[emoji3] [emoji3] [emoji3] Nina hakika wengi wetu tumeshawahi kuchoma udi ama kuvukiza mavumba... Wakati mwingine ni taratibu za kiimani kimila ama hata masharti ya mganga Nimevutika kuandika mada...
  5. N

    Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    Wadau nawasalimu, Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu, Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka saba. Huku nje familia yake ilishindwa kumudu kodi ya nyumba baada ya kodi aliyolipa jamaa kuisha...
Back
Top Bottom