The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Pamoja na kwamba niko nje na Tanzania, nafuatilia sana taarifa muhimu zinazohusu nchi yangu, Kutokana na hili janga la corona na kwa jinsi linavyoshughulikiwa Sikuwahi kujua viongozi wa nchi yangu hawana uthamani kwa watu wao kwa kiasi ninachokisikia, BBC Swahili jana wamenifanya nifikiri...
Niwatakie weekend njema! Najua hizi ndio zile tarehe pendwa... Tarehe za kuitwa majina yote matamu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nina hakika wengi wetu tumeshawahi kuchoma udi ama kuvukiza mavumba... Wakati mwingine ni taratibu za kiimani kimila ama hata masharti ya mganga
Nimevutika kuandika mada...
Wadau nawasalimu,
Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu,
Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka saba.
Huku nje familia yake ilishindwa kumudu kodi ya nyumba baada ya kodi aliyolipa jamaa kuisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.