nyerere

  1. comte

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Wazanzibari hawapendelewi kwenye serikali ya Muungano; wanahaki kwani ni wabia sawia

  2. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Anaandika mwana Simba Yericko Nyerere

    Ndugu Mo Dewji, Salim Tryagain na Mutaza Mangungu, Nini mnaweza kutuambia mashabiki tukawaelewa baada ya leo kuhitimisha msimu Simba ikikosa makombe yote? Simba imekosa ubingwa wa ngao ya Jamii, imekosa ubingwa wa Mapinduzi, imekosa ubingwa wa ligi kuu, imekosa ubingwa wa Klabu Afrika. Na sasa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Dk. Samia tunaomba mradi wa Bwawa la Nyerere uitwe Magufuli HEPP

    Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mubashara: Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya Petroli kikizinduliwa Rais Mwalimu Julius Nyerere

    Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam. Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania SoC03 Siku ya Nyerere (Oktoba 14) iwe kielelezo cha uchapaji kazi wa Baba wa Taifa letu na sio alama ya uvivu (Kukaa Nyumbani) wa Mtanzania

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote. Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Google) Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
  6. THE BOILER ROOM

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Jakaya Kikwete ndiye Nyerere wa leo?

    Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani. Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha ya Hemed Mashaka Mdose na Mwalimu Nyerere Kura Tatu Tabora 1958

    PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia University of East Africa, Dar es Salaam kuwa historia ya TANU iko katika mikono ya watu binafsi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Nyerere aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki au Protestanti?

    Wakuu kwema, Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea jumuiya hiyo kufutwa na BAKWATA kuzaliwa Napenda kuuliza kuwa kama aliwahi kuwa na mgogoro na...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Clans Can't Defeat Empires

    Part of the Speech Showing Marginalization of Undeveloped Countries by the Developed Countries - Citing an example in 1985/86 where we Doubled (Tanzania) the Production of Cotton and Alas !!! the Price of Cotton fell to Half. (The System must Change; A system organised for robbery - The Rich...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi wenye Ubunifu yafana

    Viongozi mbalimbali nchini na nje ya Tanzania, wamehudhuria hafla ya utoaji tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu. Hafla hiyo imefanyika leo Alhamisi 13, 2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Rais Mstaafu wa...
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere alisema heri Mjinga kuliko Mpumbavu. Sasa najiuliza huenda Mpumbavu ni bora kuliko Chawa

    Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa; Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

    https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere Terminal II kufungwa miaka 2 kupisha maboresho

    Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kufunga sehemu ya Terminal II kuanzia Juni mwaka huu kwa miaka miwili kupisha maboresho. Mkurugenzi wa TAA, Musa Mbura kasema shughuli zake zitahamishiwa Terminal III. Terminal II ilijengwa miaka ya 1980, maboresho hayo yanakuja baada ya Rais...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwajame Dossa Aziz Anaemeza Urafiki Ndugu Baina ya Baba Yake na Julius Nyerere

  15. safuher

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere arekebishe mindset kwanza ndipo aje kwenye Uislamu, asije na mindset hii aliyokuwa nayo

    habari za siku nyingi ndugu msomaji,natumai ni mzima na Mungu aendelee kutubariki. Hivi karibuni msanii wa movie Steve nyerere alionekana akilalamika juu ya yale yanayofanywa na waumini fulani wa Ukristo kwamba ni sio sawa na ni kukashifu dini. Aidha bwana huyu alikuwa akitolea mifano na...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kumuelewa vyema Hayati Mwalimu Julius Nyerere upeo uwe mkubwa

    Julius Kambarage Nyerere nilimuona mara nyingi akihutubia pale ikulu Dar miaka ile ya 1980 mwanzoni. Alijaliwa ushawishi katika hoja zake. Siku moja alihutubia kwa muda mrefu kidogo halafu ndege ikawa inakatiza juu angani, akasema Mungu ameileta ile ndege ili mimi nimalize kuhutubia!, wote...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

    Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa. Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema shukuru Nyerere hayupo hai angekufunza adabu

    Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe huna tofauti na Prof Tibaijuka aliyesema mil 60 kwake ni hela ya mboga. Serikali inapaswa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere na Mkapa wamepumzika kwa amani, kwanini Magufuli haachwi apumzike kwa amani?

    Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”. Je, Kuna nini nyuma ya jambo hili la kihistoria? Kwa mtazamo wangu Nyerere na Mkapa (kwa kiwango kikubwa)...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuishinda Serikali ya Kikoloni kwa maandamano, alitumia akili. CHADEMA ipo kwenye njia sahihi?

    Kulikuwa na vyama viwili TANU & UTP, Baada ya kushinda ubunge akaenda UN kuishtaki UTP iachie nchi, akashtakiwa kwa uhaini na kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara, akajiweka karibu na mkoloni TANU ikashinda majimbo 70/71. Je, kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kuindoa serikali ya kikoloni?
Back
Top Bottom