Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,127
40,799
Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115.

Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
 
Inaruhusiwa. Mimi sina shida na kutafuta management nzuri ya taasisi za serikali, watusaidie kwenye uendeshaji na mambo ya kiufundi lakini sio wapewe biashara au kubinafsishiwa.
 
Nimewaza sana, naogopa sana hili bwawa asije kumilikishwa mtu na kuuza umeme kwa bei anayotaka
 
Dah! inafikirisha sana mgeni kupewa umiliki wa lango la nchi, yaani hapo ni kupitisha magendo ya rasilimali kwa kwenda mbele. Kuna kashfa ilikuwa inaongelewa Al jazeera namna wajanja walivyotorosha dhahabu ya zimbabwe, ndo mambo kama hayahaya ya kumilikisha wageni wakae kwenye mlango wa kutokea.​
 
Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115.

Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
Jibu langu ni ndio,kama bandari inawezekana,huyo sheria ni nani hata atuzuie kwa Bwawa la Mwl.Wakati uwezo wa kusema ndioooo ,tunao🤔.
 
Back
Top Bottom