nyerere

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

    Mods Msitoe huu Uzi. Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi. Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Leo nalibatiza bwawa la kufua umeme Mto Rufiji

    Asanteni JF Kwa maua maua kuelekea mwisho wa mwaka Na ikawe heri next year panapo majaliwa Bwala la mto Rufiji dedication ni kwa Magufuli na Nyerere. Hawa Ndiyo washika maono wetu. Wamechukua maamuzi magumu kuhakikisha Tanzania iwe na umeme wa uhakika. Bwawa hili Nalibatiza Kwa jina la "...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, katika Hafla ya Jana Rufiji Wajane wa Nyerere, Mkapa na Magufuli nao walikuwepo?

    Watu wa Itifaki Mungu anawaoneni.
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Takwimu za bwawa la Nyerere zinastaajabisha sana

    Nafikiri toka uhuru hatujawahi kufanya mradi mkubwa namna hii. Kukamilika kwake kutatujengea roho ya uthubutu kwenye miradi mikubwa. Eneo la ziwa litakuwa na ukubwa wa karibu km za eneo 1,350. Hii ni kama mara mbili ya ukubwa wa Mtera. Na kwa eneo litakuwa la tano nyuma ya ziwa Rukwa. Japo...
  6. mike2k

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme. JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi...
  7. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali. Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere aliitabiria mema CHADEMA, Ndugai na Bashiru msihuzunike

    Hizi shangwe sio za bure, Mkutano Mkuu wa CCM umekwisha, mengi tumeyaona na mengi tumeyasikia. Sasa tunafahamu ni nani kasema nini na nani anataka nini. Tumejitoa ufahamu watanzania wote kukubali kuogopa kuiadhibu CCM hata kama inafanya makosa tusiyoyataka. CCM imegeuka Mungumtu, hakuna...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere likikamilika umeme utapanda bei ama utashuka bei?

    Kutokana na uwekezaji kwenye Bwawa la Nyerere kuhusisha na mikopo pia, je, lile bwawa likikamilika, bei ya umeme itapanda ama itashuka?
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere na historia ya African Association

    Kumekuwa na shinikizo kubwa sana kwangu kutoka kwa ndugu na jamaa kuwa nijibu maneno ya Yericko Nyerere kuhusu historia ya African Association (AA). Wengi waliomsikiliza Yericko katika kipindi cha TV ya Star Times hawakupendezewa na jinsi Yericko Nyerere alivyoeleza historia hiyo na kuiita AA...
  12. S

    JamiiForums Tanzania STAR TV: Mahojiano maalum na Yericko Nyerere

    STAR TV: MAHOJIANO MAALUMU NA YERICKO NYERERE.
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Salamu za Uhuru kutoka kwa Mwalimu Nyerere

    Ndugu wananchi, Naona mwaka huu hamsheherekei Sikukuu ya Uhuru. Si kitu. Mradi tu mkumbuke kwamba mko huru. Kwa sababu mimi na Rashidi na Oscar na Derek na Jamal na Maswanya na wengine wengi tuliwaletea Uhuru, tuliwaongoza katika harakati za kudai Uhuru Kwa hiyo mjihadhari mtu yoyote...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, Nyerere angeogopa mikutano ya hadhara?

    Siku sikia kabisa wakati wa awamu ya Mkapa mwalimu Nyerere akipinga hata mara moja mikutano ya hadhara. Sasa inashangaza miaka hii bado kuna watu wanaogopa upinzani kiasi cha kuwatumia polisi kunyima vibali vya mikutano. Mimi namshauri Raisi na serikali yake kuruhusu mikutano na kujibizana kwa...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Marais Bora wa muda wote wa Tanzania ni Nyerere halafu Kikwete

    Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete. Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania na Tanzania ilibaki kuwa moja. Nyerere alikataa uchawa Kama ilivyokuwa kwa Kikwete mambo ya...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Dar es Salaam dockworker's union 1948 katika Nyerere square 2022

    KUMBUKUMBU YA DAR ES SALAAM DOCKWORKER'S UNION 1948 KATIKA NYERERE SQUARE DAR ES SALAAM 2022 Hapo Nyerere Square palipojengwa jengo la kuvutia mwaka wa 1948 palikuwa na jengo la mbao na paa la mabati. Katika jengo hilo ndipo ilipokuwa ofisi ya Abdul Sykes Secretary General wa Dar es Salaam...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Mwl Nyerere watimia

    Mwl Nyerere aliweza kutabiri kwa usahihi kabisa wangetokea Wanasiasa wajinga,wapuuzi ambao kazi kubwa ngekuwa kusifu tu. Dr Kigwangallah,Msukuma,Kibajaji .....
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tanesco yasema Ujenzi bwawa la Nyerere wafikia 77% utakapoisha tatizo la Umeme litakuwa Historia

    Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77% Source ITV Habari
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bashiru anaongea kama Nyerere

    Habari wakuu, Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere. Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya. Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋 Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku, kwanini umeifanya Taasisi ya Mwalimu Nyerere mali yako binafsi mpaka wafadhili wameisusa?

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi. Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake. Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka...
Back
Top Bottom