nyerere

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

    Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi. Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
  2. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Watu wana dhambi! Eti Mwalimu Nyerere alikuwa rafiki na Bernard Morrison?

    Sijasema mimi
  3. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nyerere alivyokuwa akiheshimiwa duniani

    Hii video ilishawahi kuwekwa hapa lakini hakuna ubaya kuirudia tena. Angalia pale sekunde ya 20 alivyopigiwa Saluti na Prince Charles ambaye sasa ndiye mfalme wa uingereza. https://www.youtube.com/watch?v=0bSemyQSTv4
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kabisa CCM Wameshapuuza Mawazo na Maono ya Mwl Nyerere

    CCM heshimu busara za wazee tofauti na hapo hakuna mtakachofanya kikawa na baraka. Bora hata magufuli alijaribu kufuata nyayo za huyu mzee. Nasikia hata huko TBC wosia wa baba unakuja kwa machale sana maana ni mwiba kwa CCM ya samia iliyo jaa wezi za mali ya umma..
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  6. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Nyerere alipinga ubinafisishwaji wa bank ya NBC na hakukamatwa, DPW ni mdudu gani?

    Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW? Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Misafara ya Nyerere mpaka Mkapa haikuwa na gari za wagonjwa kama ilivyo kwa Marais waliofuatia?

    Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
  8. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyerere ni baba mzazi wa Freeman Mbowe

    Wakuu kwema? Kuna sehemu nilisikia wana wanasema hili kuhusu Mbowe kuwa na uhusiano wa damu na Hayati Mwl. Julius Nyerere, wakawa wanasema hata jinsi Mbowe alivyofanana na Nyerere kwamba kuna uhusiano zaidi ya familia zao kuwa marafiki lakini kweli ni kwamba Mbowe ni mtoto wa Nyerere. Eti...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Unahitaji vitu VIWILI tu kutambua kuwa Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere ndio walikuwa marais bora kuwahi kutokea katika nchi yetu

    Habari jf , 1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni . Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

    Wakuu, Nlikuwa nasikiliza hotuba ya baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa Julai 22 mwaka 1967 Baada ya kuwapokea Vijana waliotembea kwa Miguu kutoka Moshi. Alikuwa anaongelea kuhusu wanasiasa kununulika, Yaani hawa wananunulia na kusaliti vyama vyao au jamii iliyowachagua...
  11. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa kiuchumi na Yeriko Nyerere is real!

    Angalia mfano huu than connect dots, kwa kuangalia kitu kinachoitwa ujasusi wa kiuchumi. 1. Mimi ni Dubai ninataka kucontrol usafirishaji majini kwa Africa, 2. meli nyingi zinazotoka china kuja africa huwa zinapitia bandari yangu, 3. kuna uwezekano meli nyingi toka china zikapita bila...
  12. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Bwawa La Nyerere wafikia asilimia 90, uzalishaji kuanza mwezi Juni 2024

    WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asimilia 90 huku shughuli ya kufunga mitambo ya kufua umeme pamoja na nyumba yake ikiwa imefikia asilimia 70 Akizungumza wakati akiongoza viongozi wa Baraza la Jumuiya ya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

    Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna. Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wakoshwa na Bwawa la Nyerere

    Wakati mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukifikia asilimia 90 ya ujenzi wake, viongozi wa dini wamesema watakwenda kuwaelezea waumini wao umuhimu wa kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu. Viongozi hao kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Mzee Karume Watunukiwa Tuzo za Heshima Katika Maadhimisho Miaka 60 ya JKT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Tuzo Maalum pia zimetolewa kwa waasisi wa Taifa letu ambao pia ni waasisi wa Jeshi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa Makini, Kauli ya Nyerere ya Wabara na wale Wazanzibar inaanza kidogo kidogo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania. Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere Dubai, muendelezo wa Chawa wa Mama kujipanga kutetea DP World?

    Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania walikataa vyama vingi kwa 80% Nyerere akaona mbali akaruhusu!! Samia kaona mbali pia, DP world twende kazi

    Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona DP world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda...
Back
Top Bottom