nyerere

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM lakini CHADEMA haitakufa!

    Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo. Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe? Je, wahafidhina wa CCM ni...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

    Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ali Msham, Julius Nyerere na Wanachama wa TANU Tawi la Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa 1954

    ALI MSHAM, JULIUS NYERERE NA WANACHAMA WA TANU WA TAWI LA MTAA WA JARIBU MAGOMENI MAPIPA 1954 Watoto wa Ali Msham walizihifadhi picha hizo hapo chini kwa zaidi ya miaka 60. Miongo sita imepita hadi picha hizi kufika mikononi kwangu na ndiyo ikawa sababu ya historia ya Ali Msham mzalendo...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwapenda Wapare sana kwa kuchapa kazi mpaka akawaita Wachina wa Tanzania

    Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bado 18% Ujenzi wa Bwawa la Nyerere kukamilika

    Desemba 22,2022 Mhe. Rais Samia Suluhu alizindua zoezi la kuanza ujazwaji maji kweny Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere. Hadi sasa mradi umebakiza asilimia 18 kukamilika huku ujazo wa maji ukiwa ni zaidi ya mita 133 kutoka usawa wa bahari. Ujazo wa Bwawa la Nyerere lina ujazo wa lita...
  6. K

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Nyerere alishashauri elimu sio kitu cha kujigambia hata kidogo

    Alisema ni sawa na kujigamba una Afya. Maendeleo ndiyo kitu cha kujigambia
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere kujaribiwa mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini iliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023. Kwenye hotuba yake Rais Samia anasema wakati anakabidhiwa madaraka jambo lililokua linamuumiza kichwa ni...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakati nakabidhiwa nchi, Bwawa la Nyerere na SGR viliniumiza kichwa

    Rais Samia amesema wakati anakabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, mradi wa bwawa la Nyerere na SGR vilimuumiza kichwa kwa pesa zilizokuwa zinahitajika lakini sasa anazo pesa mpaka za kuifikisha Kigoma. Pia Rais Samia ameahidi umeme kutoka bwawani mapema mwakani. "Kila nikiangalia mapesa...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rais ambaye ana content kwenye Hotuba zake ukimwondoa Nyerere

    Baada ya Ben Mkapa hakutokea tena Rais ambaye alikuwa na akili katika hotuba. Mkapa alikuwa kichwa, alikuwa na akili bahati mbaya tu alikuwa chama ambacho hakitaki watu wenye akili kuwa nazo au kuzitumia. Sikiliza Rais akiongea..................................
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama Mwalimu Julius Nyerere aliifananisha CCM na Kokoro, wewe ni nani unayeitetea?

    Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini. Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona...
  11. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji uwanja wa mwl. Julius Nyerere naombeni maelezo

    Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapaswa kwenda Butiama kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Omari Mwariko na Historia ya Kifimbo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Rufiji Kumenoga: TAZARA yanunua behewa la tani 200 kubebea mitambo bwawa la Mwalimu Nyerere isiyobebeka kwa barabara

    TAZARA imesema imenunua behewa lenye uwezo wa kubeba tani 200 litakalotumika kubeba mizigo ya bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere iliyozidi uzito au upana wake unazidi kiwango cha upana unaopaswa kusafirishwa kwa barabara. Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani...
  15. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikosea sana alipokumbatia wahindi/warabu na kuwafukuza wazungu

    Kipindi Cha azimio la Arusha wazungu wengi walifukuzwa Ila Cha ajabu wakabaki wahindi Leo hii wahindi na wakifuatiwa na warabu ndo wamekamata biashara kubwa na Wana ukwasi Mkubwa Maajabu ya mhindi/mwarabu hata nyumba ajengi Yuko tayari kuishi kwenye nyumba za NHC au kupanga kule kariakoo au...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujazwaji maji Bwawa la Julius Nyerere wafikia mita 108

    Ujazo wa maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi Januari 9, 2022 ulifika mita 108.31 kutoka usawa wa bahari. Ujazaji maji katika bwawa hilo linalotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme likiwa na uwezo wa kuhifadhi lita bilioni...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere anatimiza miaka 93 leo. Karibuni tumtakie matashi mema

    Tarehe 31.12.1929 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa lugha ya kibantu tunasema 'sabukuu' ya Mama Maria Nyerere. Wasomi wa lugha na mnaofahamu kizungu kuliko kiswahili neno sabukuu kwa kiswahili ni mazazi kizungu ni "birthday". Mama yetu leo anatimiza...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Kukithiri Kwa vitendo vya rushwa mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere (Julius Nyerere hydro power project)

    Habari zenu Wana jukwaa la JamiiForums Kwanza napenda kuipongeza serikali kusimamia utekerezaji wa ujenzi wa bwawa hili kubwa nchini la kufua umeme na kutoa fursa za ajira Kwa vijana wengi wa kitanzania Lakini mradi unapoelekea kumalizika kumetokea tatizo kubwa sana la urasimu upande kupata...
  19. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania MWL. J. K. Nyerere kuhusu vyama vya upinzani

    Habari za saa wanachama wote natumai ni njema . Kama kichwa cha mada kisemavyo "Mwalimu nyerere kuhusu vyama vya upinzani”. Ningependa kuwa karibisha wadau wote kutoa maoni na michango huru kutokana na mazungumzo mafupi katika video hii nilio weka hapa ikumuonesha Mwalimu Julius Kambarage...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37. Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa...
Back
Top Bottom