Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,813
- 11,991
Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika.
Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya moto na watembea kwa miguu wanashauriwa kutumia Barabara ya Kawawa, Veta- Chang’ombe, Shaurimoyo, Kilwa Road na barabara ya mchepuko iliyojengwa pembezoni mwa eneo hilo la ujenzi.