nchi

  1. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tanga: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa Wajawazito na Watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA" TANGA-KOROGWE MJINI Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karatasi za kupigia kura katika uchaguzi wa mwaka huu zitachapishwa humu nchini au zitatoka nje ya nchi?

    Kwa anaefahamu,naomba atujuze kwani teyari mitandaoni watu wameanza kusema yao. Halafu hivi JAMANA PRINTERS ndio kina nani hasa? CC: CHADEMA
  3. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahindi ya kusafirisha nje ya nchi

    Hello wanajamvi, Mtu fulani ughaibuni anataka mahindi, tani 100 (kilo laki), ila kwa Tshs. 400 kwa kilo. Kama hili linawezekana kwako, njoo tuongee. Mda huo unatupa kisogo...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani asitisha majadala uliolenga kutafuta suluhu za kunusuru Uchumi wa nchi ambao imeathirika sana kutokana na CoronaVirus

    Rais Donald Trump wa Marekani amesimamisha ghafla majadiliano na chama cha Demokratic juu ya mpango wa kusaidia kupunguza athari za kiuchumi zinazotokana na ugonjwa wa COVID-19, na kuhamishia maamuzi yoyote kuhusu mpango huo baada ya uchaguzi wa Novemba 3. Trump ameichukuwa hatua hiyo licha ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kinachowaleta Marais wa nchi jirani ni kumpigia kampeni mwenyeji wao?

    Mfululizo wa marais wa nchi jirani wanaokuja kutembelea Tanzania, kipindi hiki cha kampeni una lengo la kumpigia kampeni Magufuli? Ukianzia kwa Rais wa Uganda, ukaja kwa Rais wa Burundi na sasa Rais wa Malawi, wote lazima waongelee 'Magufuli atashinda' kwani wana uhakika gani? Natarajia marais...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi: Kiongozi anayetafuta kuongoza nchi hawajibiki kwa waliompigia kura tuu bali na kwa Mungu pia

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi,ameahidi kupambana na vitendo vyote vya ubaguzi ndani ya jamii pindi akipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar. Amesema ili kutokomeza vitendo vya ubaguzi visiwani humo, lazima akiri na kukubali kuwa vitendo hivyo vipo, kisha achukua...
  7. Securelens

    JamiiForums Tanzania Lissu kwa mara nyingine amewathibitishia Watanzania kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi

    Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia Watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane, tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana watanzania; Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe. Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu...
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bi.Hamida: Tumchague prof. Lipumba awe Rais wa nchi hii na mimi niwe Makamu wa Rais wa nchi hii tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." MWANZA Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Sub-Saharan Africa na Mashariki ya Kati (Middle East)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)? Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser...
  11. D

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

    Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC. Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Vatican haiwekeki vikwazo kama nchi zingine? Ni nchi gani imeshamkatalia Secretary of State wa US kuingia zaidi ya Vatican!

    Nawaza tu. Kwamba ni nchi gani yenye ubavu wa kumkataria secretary of state wa USA kuingia nchini kwao isiweze kulimwa vikwazo kama mvua. Majuzi Vatican imemkataria Pompeo kuingia Vatican kama nchi na akaufyata. Sasa hii siyo proof kwamba Vatican ni heaven ya hapa duniani? Leo Trump pia...
  13. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba akiwa Buchosa: Nichagueni Urais ili nitokomeze njaa na kuhakikisha lishe bora kwa wajawazito na watoto

    Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili...
  14. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunifu wa Godbless Lema na Halima Mdee utumike nchi nzima

    Waja JF, Kwenye majukwaa ya kampeni za uchaguzi, Godless Lema na Halima Mdee wamekuwa wakitumia clips zenye maneno ya wapinzani wao kuonyesha jinsi walivyo vigeugeu katika maisha yao, wenye kutoa ahadi za uongo, nk. Leo wanasema hili na kesho wanasema lile na kwa hiyo wasiaminiwe na wananchi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wakienda nchi zilizoendelea hupiga picha maeneo ya kuvutia tu na si vingine

    Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, tokea nimezaliwa nimekuwa nikisikia juu neno maendeleo hasa zikizungumziwa Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za mashariki, lakini imekuja kunigusa tena kwenye kampeni za uchaguzi ambapo watu wanabishana kipi kianze sasa...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanachama wenzangu CCM, mmewahi kuwaza kuwa yaweza siku moja chama tofauti na sisi kuongoza nchi? Tumejiandaa kisaikolojia?

    Ikumbukwe ikatokea Chama tofauti na sisi kikaongoza basi yafuatayo ndo tutayajutia 1. Rais wao atakuwa na madaraka kadhaa ambayo yapo juu ya Mungu Kuua, Kuteka, Kusweka watu ndani, namaanisha mmepuuza katiba mpya subiri nao waongoze, 2. Rais akitoka upinzani atatumia dola kulinda nguvu ya chama...
  17. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania YEREMIA MAGANJA: Sisi ni nchi huru na tutalinda Uhuru wetu wenyewe

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Alhamis Oktoba 01, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Mjini viwanja vya Mwanga Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini...
  18. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

    Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania. Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF. =======
Back
Top Bottom