Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Hao Mawaziri wamekutuma uwasemee ili wateuliwe haraka au? kwanza hakuna umuhimu wa wao kuwepo mbona Makatibu Wakuu wanatosha tu, hawana la maana hao zaidi ya matumbo yao ngoja hela za Mishahara yao ya miezi kadhaa ambayo wangelipwa zifanye kazi za maendeleo
 
Katiba inataka wawepo mkuu.Hata Kama JPM hawataki analazimishwa na katiba kuwaweka, ndo maana aliapa kuitii katiba.
 
Bora tukae bila Mawaziri,
Hata wakiteuliwa huwa wapo Kama pazia,hakuna kinachofanyika zaidi ya kusubili maamuzi kutoka kwa aliyewateua.
Qliye wateua ndiyo kila kitu.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom