Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,200
103,733
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”

---UPDATE---
Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC

Mnyika anasema kwa mujibu wa taratibu na sheria mwenye mamlaka ya kuteua majina ni baraza kuu la chama na katibu wa chama ndiye mwenye mamlaka ya kuandika barua kwa tume kuwasilisha majina ya wabunge wa viti maalum.

Yanayoendelea Dodoma inabidi tume na spika waseme hayo majina wamepelekewa nan nani toka CHADEMA


Mnyika.JPG


Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera CHADEMA kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa chama hicho hakijateua wabunge wa viti maalum na hivyo hakuna orodha iliyopelekwa Tume ya Taifa ha Uchaguzi (NEC). Mnyika amesema kuwa wanafuatilia kinachojiri na wakithibitisha hujuma au usaliti hawatosita kuchuk
Hujui kama mwanasiasa nyekundu husema nyeusi.

Jitoe vibanzi usoni kwa kumuamini mwanasiasa. Huyo Mnyika ana buy time na anacheza na akili yako tu.
 
Nyinyi mmebakia kutumiwa tu humu mitandaoni kwa kukanusha yasiokanushika. Ww au huyo aliekutuma hamna uchungu na chadema zaid ya Halima Mdee.

So ukiona hivyo ujue kina Halima wanabaraka zote za uongozi wa juu, ww na huyo aliekutuma hamuwezi kuzuia maamuzi hayo na mkiona mnakereka hameni chama. Vyama vyenye misimamo tofauti na hii ya chadema ni vingi
 
Nyinyi mmebakia kutumiwa tu humu mitandaoni kwa kukanusha yasiokanushika. Ww au huyo aliekutuma hamna uchungu na chadema zaid ya Halima Mdee. So ukiona hivyo ujue kina Halima wanabaraka zote za uongozi wa juu, ww na huyo aliekutuma hamuwezi kuzuia maamuzi hayo na mkiona mnakereka hameni chama. Vyama vyenye misimamo tofauti na hii ya chadema ni vingi
mimi sina wa kunituma,labda umuulize huo uchungu wa Halima na aliyewatuma unatoka wapi
 
Back
Top Bottom