"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba.
-
"Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho...
Jerry Rawlings, Ghana former leader don die.
Rawlings die on Thursday morning.
Jerry Rawlings John AKA J.J.Rawlings dem born am 22 June, 1947.
E die at di age of 73 for Korle Bu Teaching Hospital, according to tori.
Former Prez. Rawlings death dey happun just less than a month to di 2020...
Huku akiwasilisha kwa mbwembwe zilizoonekana kuwa ni za kishabiki akipinga hoja zilizowalishwa na kambi ya upinzani bungeni, Werema alishindwa kuunga mkono hoja ya Upinzani kuhusu mstakabari wa TZ baada ya Zanzibar kuutangazia UMMA na dunia kuwa ni NCHI.
Werema alisema zanzibar ni nchi ndo...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lissu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji.
Tundu Lissu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini humo kwa miaka mitatu na kwamba ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia...
Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)
Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha...
Belarus ni nchi iliyo mashariki mwa Ulaya, imepakana na Poland, Urusi, Ukraine na Lithuania. Ina jumla ya raia takriban 900,000 na mji wake mkuu ni Minsk.
Alexander Lukashenko ni Rais aliyetawala Belarus tangu 1994. Katika utawala wake wapinzani wake wamepitia mateso makali sana. Ikiwemo...
Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo.
Natanguliza shukrani.
Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini...
Msaada tutani, naomba kufahamu ni chuo kipi kinaweza kumruhusu mwanafunzi wa PhD kuandika Thesis kwa kiswahili au ni nchi ipi. Msaada.
UPDATES:
---------------------
Maana yangu ni kwamba kuna watu wana PhD kingereza hawajui sasa nauliza Thesis waliandika kwa kiswahili?
Ni Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima la matumizi ya fedha za Umma na zile zinazotolewa na wahisani.
Kwa sababu hiyo, naamini mpaka sasa...
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuiitoa nchi yake katika mkataba wa kimataifa wa mpango wa Nyuklia wa Iran. Ameutaja mpango huo kuwa si salama kwa Marekani na raia wake, huku akisema kuwa mpango huo ni kero kwa taifa la Marekani.
Licha ya wito kutoka jumuiya ya kimataifa, Ufaransa...
Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji".
Msemo huo una maana kubwa sana, pia historia ina utamaduni wa kujirudia.
Siku za karibuni tumeona viongozi wa upinzani...
Bila kupindisha maneno nchi yetu kwasasa inakabiliwa na mabadiliko makubwa ya mfumo.
Mfumo wa zamani wa vyama vingi na demokrasia unaelekee kufa na kuja mfumo mpya kama wa Rwanda, Urusi na China.
Utawala wa Chama kimoja na mtu mmoja wa awapendaje. Huu mfumo wa aina yake unaonekanaga mzuri pale...
Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3.
Kila mbunge anakula zaidi ya milion 10, bado wawape zile tablet, bado...
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.
Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani...
IFAHAMU SIKU YA UAPISHO WA RAIS.
MATUKIO YANAYOFANYIKA.
Katika hafla ya uapisho kunakuwa na matukio mbalimbali kama ifuatavyo;
✍🏽Kupigwa kwa mizinga 21.
✍🏽Ukaguzi wa gwaride.
✍🏽Salaamu kutoka katika vikosi vya kijeshi.
✍🏽Burudani.
KULA KIAPO.
Katika hafla ya uapisho tukio la Rais kula kiapo...
Neno "Mwelekeo" ndio sababu kuu ya Vyama vya upinzani kutokubalika na kuaminiwa kupatiwa Nchi na watanzania.
Uchaguzi wa mwaka 1995 upinzani chini ya NCCR Mageuzi ilibaki kidogo kuchukua nchi chini ya Augostino Lyatonga Mrema, kabla ya watanzania kushtuka dakika za mwishoni baada ya Baba wa...
Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado kutangazwa
Radio ya Iran imeripoti kuwa waandamanaji katika jimbo la Minneapolis, Seattle na Los Angeles...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mi ni kijana wa Kitanzania nadhamira yangu kubwa ni kutaka kuthubutu kwenda nchi za ng'ambo kutafuta ridhiki. Nimebahatika kupata diploma in water supply and sanitation engineering pia baada ya msoto mrefu nikasomea Mambo ya kuendesha mitambo ijulikanayo kama...
The pandemic-induced economic crisis is set to leave deep scars. Human capital erosion from prolonged high unemployment and school closures, value destruction from bankruptcies, and constraints on future fiscal policy from elevated public debt top the list. Groups that were already poor and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.