nchi

  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football. Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta...
  2. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ipi ni Jirani mkubwa kwa Kenya?

    Kenya imezungukwa na nchi nyingi 1. Somalia 2. South Sudan 3. Uganda 4. Tanzania 5. Rwanda Kati ya nchi hizo ni nchi gani ambayo Wakenya wapo na Ujirani + Undugu mkubwa nayo?
  4. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba 'Visa' ya Nchi ya Oman

    Wakuu, Ningependa kwenda kutalii nchini Oman katika nchi tajwa hapo juu. Naomba nipatiwe0utaratibu wa kuomba visa,na ikiwezekana na gharama za nauli na malazi kwa wiki tatu. Natanguliza shukrani.
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Joto Duniani: Katibu Mkuu UN atoa wito kwa nchi zote kutangaza "dharura ya hali ya hewa"

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema viongozi wa dunia wanapaswa kutangaza ''dharura ya hali ya hewa'' kwenye nchi zao ili kuchochea hatua za kuepusha janga la ongezeko la joto duniani. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akiufungua mkutano wa kilele kuhusu hali ya hewa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Huduma za Google, kama Gmail na YouTube zimeonekana kusumbua kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na India

    Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India. Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
  7. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa chanjo ya Corona Afrika

    Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya. Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo. Hapa wazungu wamewa-betray...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania WHO kutoa chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa wamepata chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati. Ghebreyesus alifanya mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya WHO huko Geneva, Uswizi, akitumia njia ya video...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli nchi haina wataalam wa madini?

    Baraza la mawaziri la Sasa limepata changamoto na ukosoaji mkubwa kwa mambo makuu matano; 1. Halina Waziri full kutoka Zanzibar 2. Halina uwiano wa jinsia 3. Linatuumiwa kuhusu udini na ukanda 4. Wabunge wakuteuliwa kuingia kwenye baraza huku wakiwemo wabunge zaidi ya 300 wamajimbo ambao...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Maono yangu tunapoelekea 2025

    wenzetu wa CCM wanasema kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa chaguzi nyingine. Ila kuelekea 2025 namuona mheshimiwa Majaliwa akikitwaa kijiti cha kuiongoza nchi kutoka kwa rais Magufuli. Namuona ndugu yangu Bernard Membe akirudi nyumbani CCM. Naliona anguko la CHADEMA na kuibuka kwa ACT kama...
  11. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nashauri wanaochafua nchi wafilisiwe mali zao

    Hapo vip! Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani. Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu. Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja...
  12. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutumia chombo gani huru kuupata ukweli wa yasemwayo na Wanasiasa katika nchi yako?

    Raisi Donald Trump aliwahi kudai kaibiwa kura akiwa madarakani. Kura zikarudiwa kuhesabiwa baadhi ya majimbo( Georgia), matokeo ya pili yakaonyesha bado ameshindwa! Akakubali matokeo. Hii ina maana, kiongozi "Mkubwa" katika nchi anapoongea jambo inafaa kama lina ukakasi,kuwepo na chombo kingine...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ikiwa sharti kuu la kula kiapo ni kuilinda na kuihifadhi Katiba ya nchi, ni kwanini viongozi hao baada ya kula viapo hivyo, wanaisigina Katiba hiyo?

    Tumekuwa tukishuhudia kila kiongozi kabla ya kukabidhiwa madaraka, ni lazima kwanza aape na katika kiapo hicho, sharti kuu ni kuilinda na kuiheshimu Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama ya nchi yetu Sasa ni kwanini baadhi ya viongozi Mara tu wanapoanza kutumikia nyadhifa hizo wanaipuuza...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Godbless Lema ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?

    Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini? Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi. Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
  15. Airmanula

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni gani nzuri ya kuagiza magari nje ya nchi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wadau tushirikishane kampuni nzuri na best inayomfaa mteja kuagiza magari nje ya nchi. Na pia wale ambao wamewahi kuagiza watupe uzoefu wao na waliyopitia, je gari uliyoletewa ndio yenyewe? Vifaa vya ndani je ndivyo vyenyewe? Pia wale ambao hununua magari...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nchi wafadhili sasa muamue kusimama na wanasiasa au wananchi

    Nadhani mpaka sasa mmeshajionea maajabu na undumilikuwili wa wanasiasa wetu, hivyo ni jukumu lenu kuamua kama demokrasia mnayoipigania ndio imewewaka wanasiasa wetu madarakani au laa, na kisha muamue kutoa fedha zenu au vinginevyo. Chagueni kusimama na wananchi au kusimama na wanasiasa. Kazi...
  17. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa kweli wa nchi hii ni Mbowe na Lissu

    Habari ndo hiyo, hiyo miamba hapo juu ndo tafsiri haswa ya mpinzani wa nchi hii ni nani. Ambaye hataki na anabisha kwa nnachokisema, aende akameze boga, akifanikiwa kulimeza basi mimi ni muongo na nipigwe mawe. Upinzani wa kweli ni kutokuyumbishwa msimamo wako juu ya unachokiamini. Mbowe na...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Sifa ambazo viongozi wakuu wa nchi huzizingatia wakati wa kuteua viongozi

    Habarini za Leo ndugu na marafiki Leo nimekuja na sifa ambazo viongozi wakuu huzizingatia wakati wa kuteua wasaidizi wao. Mfano Rais anapochaguliwa tu, moja ya jukumu lake huwa ni kuteua viongozi watakao simama naye katika kutekeleza majukumu yaliyo mbele yake. Hivyo ndani ya akili ya Rais...
  19. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na ulazima wa nchi kuingia vitani na Idd Amin?

    Nawauliza wazee wangu mliokuwa na ufahamu wakati nchi inaingia kwenye vita vya Kagera. Je, kulikuwepo na ulazima wa kuingiza nchi kwenye vita ya Uganda ambayo tangu wakati huo mpaka sasa madhara yake bado yapo dhahiri? Je, hatukuwa na diplomacy iliyokuwa matured kuepusha hasara ile? Je...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ndugai avuliwe U-spika wa Bunge, kutokana na kuikanyaga Katiba ya nchi kwa kung'ang'ania kuwakumbatia wabunge wa viti maalum wa Chadema

    Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii. Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo. Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
Back
Top Bottom