Nchi ikiwa ya chama kimoja anayepata faida ni Rais tu siyo chama!

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Wanabodi mnaoshangilia nchi yetu kuwa ya kijamii peke yake mjue anayefaidika na mfumo huo wa chama kimoja ni rais tu

How!
Miswada yote ya serikali itakuwa inapita bila kupingwa au rais akitaka chochote hakuna mwenye ubavu wa kumpinga Mana wabunge wote wanakuwa waoga hususani hawa ambao wamepewa ubunge tu kwa msaada ya polisi na TISS ambavyo vyote vinacontroliwa na rais.

Pili kunakuwa hakuna ushindani Tena wa hoja bungeni kila kitu kinakuwa ndiyo ambapo hata wabunge wa CCM wenyewe umaarufu unatoweka kabisa na siasa inasinyaa. Kumbuka mbunge wa ccm ankuwa star tu pale ambapo anakuwa anashambuli upinzani Kama ilivyokuwa kwa kibajaji na msukuma enzi zile za vyama vingi na waling'aa kwelikweli. Hata spika anakosa Tena mtu wa kumkoromea kwamba kaa chini hiyo siyo hoja au hoja mfu ikumbukwe kuwa hawezi mwambia ccm mwenzie.

Nayo.
 
Back
Top Bottom