Wakuu,
Kama mmojawapo wa raia mjenzi wa nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) ambayo ni zao la Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar
Uchumi nufaishi kwa nchi na watu
A:
1. Uchumi wa mazao ya Bahari
2. Uchumi wa Utalii (mali kale, viumbe adimu, wanyama asili lugha, utamaduni)
3...
Hatuna uwezo lakini tufanye kitu hata kidogo kama gesture tu kuwa tupo pamoja
Si ndiyo sisi husema kutoa ni moyo!?
Wenzetu majanga yamekuwa makubwa sana, tusikae tu kama watu useless. Kila siku sisi wa kupewa tu!?.
Tukusanye hata kahawa kidogo, majani ya chai au korosho na kuwapelekea hawa...
Binafsi nimefurahishwa na jinsi Waziri wa Afya alivyoanza kazi.
Anaonekana mtu mwenye kuelewa wizara yake inavyofanya kazi, ina changamoto zipi na ana dira ya maboresho yanayohitajika kuleta tija.
Amekuwa tofauti na Mawaziri wengi ambao wanaonekana kufanya kazi sio kwa kuelekeza nini kifanyike...
Inasikitisha Sana kwamba vijana wetu wanajitahidi kimasomo katika mazingira magumu Sana. Wakati mwingine fedha za mikopo ya kujikimu inachelewa, na hata wengine hawapati kabisa. Licha ya magumu yote hayo, unakuta kijana amejitahidi Hadi kufikia hatua ya juu ya ufaulu.
Wengine katika madaraja...
Habari wadau..!
Kiukweli wa Tz tuna mzigo wa mambo mengi yanayotafanya tukose furaha mpk mda mwingine unatamani utoweke hapa duniani.
Mfano siku kama ya leo au kipindi kama hiki unakuta kijana kamaliza chuo miaka inaenda hana mchongo ,kijana huyo huyo unakuta ni mshabiki wa mpira wa miguu...
Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar
Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu.
Napenda...
Tanzania ni nchi inayofaa sana kwa kilimo tuna ardhi nzuri na kubwa sana, pia tuna maji mengi sana. Ni moja ya nchi zenye maji mengi duniani lakini ajabu yetu kilimo chetu ni cha kimaskini kupita maelezo. Wakulima ni maskini wa kutia aibu.
Kwa ardhi tuliyonayo kilimo kinaweza kuwa kimbilio la...
Habari zenu wakuu,
Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi
Very nice for our caring president ,long live baba
---
Rais amesema Mbio za Mwenge zinakusanya watu wengi sana na katika...
UBEBARI NAMNA ULIVYOJIKITA KUJENGA NGUZO YA UTANDAWAZI.
Na Elius Ndabila
0768239284
Historia inatufunza kuwa ubepari kama mfumo wa mahusiano ya kijamii hushamiri na kuendeshwa kwa kutegemea "udhaifu" wa upande mmoja katika mahusiano hayo. Ni wazi kuwa mfumo huu unaishi katika kuupalilia...
Umeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine wanasema stigler, wengine wanasema mgao wa kimya kimya, embu serikali itoe kauli Kama Kuna mgao...
Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida, ambacho sijawahi kukiona katika miaka ya nyuma katika tawala zilizopita, kwa kuyabakiza mabango kwa maelfu yanaendelea kuwepo sehemu mbalimbali nchini, wakati uchaguzi ushakwisha!
Mabango hayo yalitengenezwa maalum kwa ajili ya uchaguzi mkuu pekee na kwa...
Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa Tanesco kyela,tunakuomba mheshimiwa waziri tunajua wewe ni mchapa kazi ila hawa watu wanakuangusha
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.
Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta...
Salaam Wana JF.
Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
Kenya imezungukwa na nchi nyingi
1. Somalia
2. South Sudan
3. Uganda
4. Tanzania
5. Rwanda
Kati ya nchi hizo ni nchi gani ambayo Wakenya wapo na Ujirani + Undugu mkubwa nayo?
Wakuu,
Ningependa kwenda kutalii nchini Oman katika nchi tajwa hapo juu. Naomba nipatiwe0utaratibu wa kuomba visa,na ikiwezekana na gharama za nauli na malazi kwa wiki tatu.
Natanguliza shukrani.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema viongozi wa dunia wanapaswa kutangaza ''dharura ya hali ya hewa'' kwenye nchi zao ili kuchochea hatua za kuepusha janga la ongezeko la joto duniani.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akiufungua mkutano wa kilele kuhusu hali ya hewa...
Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India.
Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya.
Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo.
Hapa wazungu wamewa-betray...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.