nchi

  1. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

    Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania. Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF. =======
  3. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Tanzania mabingwa wa kutetea Haki nchi za nie na kulinda Amani. Na Uchaguzi uwe huru, uwazi na haki

    Tangu tupate Uhuru na tangu zama za Mwalimu Nyerere Tanzania ilijitoa kupigania Haki kwa nchi zote zilizokua zikionewa hapa duniani. Sio tu nchi kuonewa bali hata jamii yoyote kuonewa Tanzania iliitetea jamii hiyo. Sio tu nchi na au jamii, bali pia hata mtu binafsi alipokua akionewa huko kwao...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania je! ikitokea nusu ya wabunge wakatoka upinzani na raid CCM itabidi Kodi za wananchi wote zihudumie nusu ya nchi?

    Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe) Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na IGP Sirro waheshimu viongozi wa Chadema akiwemo Tundu Lissu. Kwanini wanadhalilishwa kana kwamba wao ni watu baki ktk nchi yao?

    Je, jeshi la Polisi wanaheshimu viongozi wa Chadema? Je, IGP Sirro anawaheshimu viongozi wa Chadema; anamheshimu Tundu Lissu? Tatizo nililoliona ni jeshi la polisi kutokuheshimu viongozi wa Chadema. Kutokana na matukio ya Polisi kudhalilisha viongozi wa Chadema kuwa mengi, naamini wapo...
  6. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Kwa jibu la mmoja wa wagombea Urais nchini kwetu Tanzania, hivi Katiba ya nchi inasemaje haswa juu ya uhuru wa faragha (privacy)?

    Kuna mgombea mmoja wa kiti cha Urais amekuwa akinukuu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (toleo la 20 Juni, 2005) ibara ya 16 mara anapojibu swali la waandishi wa habari akiwemo yule wa BBC wakati wa hardtalk kuhusu masuala ya ushoga. Ibara hiyo inahusu haki ya faragha na...
  7. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yeremia Maganja: Tanzania ni nchi yenye maziwa na asali

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini viwanja vya Bitale Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma...
  8. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  9. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha nchi kuwa na nguvu za uchumi ni kipi?

    Dola moja ya marekani ni sawa na shilling 2326 za Tanzania Dola moja ya marekani ni sawa na Yeni 11 za japan Dola moja ya marekani ni sawa na dinar 0.33 za Kuwait Hela yenye nguvu kuliko zote duniani ni dinar ya Kuwait.Tunaambiwa nchi tajiri kuliko zote duniani ni Luxembourg kanchi kadogo sana...
  10. Moto Ulao

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi wa kiroho upande wa Wakristo na mgombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM anaweza kuwa msaada mkubwa...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan? Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi hii Serikali inayodai inawatetea wanyonge, inawezaje kutapanya pesa kwa kusambaza mabango na "kuprint" T/shirt za kusambaza nchi nzima?

    Kila unapotembea hivi sasa katika nchi hii utayaona mabango kwa maelfu, ya wagombea wa CCM yakiwa yamebandikwa sehemu mbalimbali za kuwanadi wagombea wao kwa uchaguzi mkuu ujao. Vile vile katika kila mkutano wao wa kampeni, utaona mashabiki wao, wakiwemo watoto wadogo wanaosoma shule za msingi...
  13. Wacha

    JamiiForums Tanzania Chama kilichoshindwa kujenga Ofisi kinaweza kujenga nchi

    Chama ambacho kimewadhulumu wabunge wake kwa michango na kushindwa kujenga Ofisi kwa miaka zaidi ya 25 kinaweza kweli kujenga nchi?
  14. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni maelekezo gani mgombea Urais kapokea kutoka nchi za nje?

    Wakuu Salaam; Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani? Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje. Jana pia Polepole kalilia hicho. Mgombea Urais...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa Urais?

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa Urais? -------------- Tume ya Taifa ya Uchaguzi imejiaibisha kwa mara nyingine tena. Kumuita mgombea wa Chadema Tundu Lissu kwenye Kamati ya Maadili kumtaka ajieleze kwanini anasema lazima atashinda uchaguzi huu ni wazi Tume hiyo Ina mshindi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii hawawasaidii tena CCM, Watu wanataka kusikia kuhusu masuala yanayohusu nchi yao!

    Watu wa sayansi wana kitu wanakiita saturation point, yaani ni point ambayo hata ukiongeza kitu fulani kilichokuwa na matokeo chanya kwenye mchakato fulani hapo awali, basi kitu hicho kinakuwa hakina msaada tena kwenye kuuongezea kasi mchakato huo. Sasa kwa kampeni hizi za CCM, Wasanii kweli...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania NI kweli wapinzani wakishinda watauza nchi?

    Ukweli NI kuwa kashfa na taharuki iliyowekwa kwa wagombea wa upinzani NI kubwa Sana na inapenya vilivyo kwa watu kuliko ata maneno anayosema Tundu zidi ya serikali. 1. Huitwa vibaraka wa mabeberu na wametumwa na mabeberu. 2. Huko singida nilisikia NI watu wenye mpango wa kuuza nchi. 3. NI watu...
  18. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Wanawake nchini hawapati huduma bora wakati wa kujifungua, nichagueni kuwa rais nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito

    WANAWAKE NCHI HII HAWAPATI HUDUMA BORA WAKATI WA KUJIFUNGUA NICHAGUENI KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA BUKOBA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka...
  20. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

    Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani. √ Vijana wanalia na ukosefu wa ajira √ Watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara √ Wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni √ Wajasiriamali wadogo wanalia na...
Back
Top Bottom