Baada yakufanya tathmini isiyo rasmi...nimegundua sehemu ...ambayo CCM wamewekeza mtaji wao mkubwa ni vijijini. Hapa CCM wanachofanya sio..Miujiza ni njia kama za Akina late Mugabe , Mseven na wazee wengineo ambao wako ..radhi wafie madarakani lakin ..sio kuwapa kijiti wapinzani.
Kwa upande wa...
Ameandika mmoja wa wasomi wa falsafa, Castor Mduda, aliyejikita kwenye maadili na siasa ameandika, #CoronaVirus ni Hatari sana lakini Kuvizuia kwa kuwatesa wananchi kwa kuchukua hatua ngumu na tatanishi kwa watu ni hatari pia
Ni vyema Busara ikazingatiwa na Viongozi wa Afrika katika kuchukua...
Mh Kassim Majaliwa amesema ni waziri wa afya pekee mh Ummy Mwalimu ndiye atakayekuwa akitoa taarifa za Corona nchini.
Mh Majaliwa amesema itakapolazimu zaidi basi ama yeye Waziri mkuu, Makamu wa Rais au Rais Magufuli ndio watakaozungumza na si vinginevyo.
Waziri mkuu amesisitiza kuwa mtu...
1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi...
IKO WAPI TANZANIA YANGU; IKO WAPI CCM YANGU: WAKO WAPI WAZEE WANGU WENYE DHAMANA YA CHAMA NA NCHI YANGU.
Ndugu Watanzania na wanajamvi, nawaombea kila la kheri wakati huu mgumu. Mola atatupa neema zake na tutavuka hili janga tukiwa salama wa afya.
Ninaleta uzi huu nikiwa na majonzi na wasiwasi...
Najua kuna watu wapo kazini kuhakikisha Membe anagombea urais kupitia ACT lakini siyo kwa maslahi ya taifa bali ni kwa maslahi ya CCM.
Nashauri ZittoTundu Lissu wapitie bandiko ili wafanye kitu kwa maslahi mapana ya upinzani kwa ujumla,nawahakikishia mtashinda.
Membe hawezi kushinda urais...
Baada ya mlipiko wa virus vya corona Covid-19 nchi za ulaya walijiona wako salama na hili janga haliwahusu....kebehi moja maarufu "Chinese virus" ilitamba kwenye anga a ulimwengu.
Siku zikasonga masaa yakasogea....China akaelemewa...akapambana kiume.
Hali ikawa tete nchi za ulaya wakafanya...
Hapo vip!
Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali. sifa ya mitambo hii. -hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi ya kubwa.
-Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme...
Justin Derbyshire, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la HelpAge Kenya
NCHI ambazo zinahifadhi wakimbizi wengi na zenye makazi duni Afrika, zinatajwa kuwa na hatari zaidi ya kuenea kwa virusi vya corona (COVID-19) katika siku za usoni.
Na kwamba, nchi hizo baadhi zina idadi kubwa ya...
Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani.
Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate?
Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa.
Angalia issue ya...
Mungu atuepushe na hili janga, maana ni hatari, kule Rwanda namba inapanda kwa kasi ya ajabu ndani ya wiki mbili 46, Uganda kama 15 hivi kama sikosei, na Kenya 25 ndo usiseme maambukizi yamepanda hatari.
Huku kwetu mara ya mwisho Rais Magufuli anahutubia Taifa alisema Tanzania ni 12 na mmoja...
Ndio maana Bible inasema tuheshimu mamlaka ya nchi.
Ukisoma zaidi utaona viongozi wamepewa baraka za nchi.
Ila pale wanapoweza kuharibu kwa maneno machache basi hutengeneza laana..
Maombi yangu kwa Mungu amsaidie kila mkusanyiko ulipo neno la baraka litakase milele na nchi ibaki kwenye baraka...
Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.
Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa.
Juzi Rais Katoa agizo kuwa...
Baada ya Makonda kutangaza mtoto wa Mbowe kuwa ameugua korona,jambo ambalo lina muelekeo wa kisiasa,naanza kujiuliza kama bado ni sahihi(salama) kwa wapinzani kupima ugonjwa huu humu ndani ya nchi na hasa wabunge wa upinzani ambao watapaswa kupimwa sambamba na wenzao wa CCM kabla ya kushiriki...
Rais Cyrill Ramaphosa ametangaza siku 21 za wananchi wote kujifungia ndani ilikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona ambavyo mpaka sasa vimeathiri watu zaidi ya 400 nchini humo.
Ramaphose amesema wakati wa mpango huo ambao unatarajiwa kumalizika Aprili 16 hakuna mtu...
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema wageni wote wanaoingia jijini wakitokea nchi zilizoathirika zaidi na corona watawekwa karantini ya siku 14 katika hoteli maalum kwa gharama zao wenyewe.
Makonda amesema Hotel hizo hazitatangazwa kwa sababu za kiusalama na kuepusha unyanyapaaji kwa wageni...
Wakati nchi wafadhili kama Ujerumani inazuia mikutano ya hata watu 2, kufunga kila aina ya mikutano ili kupambana na Corona sisi tunahimizana kukutana na kuendeleza maombi.
Italy ambako ukatoriki na maombi ni sehemu ya maisha yao wamezuia kila aina ya mikutano sisi tunahimizana kuendeleza...
Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha.
Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan).
Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
Wakuu hamjambo?
Nimekuwa nafuatilia kuhusu hili gonjwa la Corona kwa wataliano, naona linawapukutusha kama mti unavyopukutisha majani wakati wa kiangazi.
Idadi ya vifo inasoma 400+ kila siku,angalia hii record ya vifo kwa Jana na Leo, ambapo Jana tu uliua watu 475. Leo hii watu takribani 425...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.