naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kimawazo kuhusu suala la jina katika akaunti ya Benki

    ..
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba itambulike Derby iliyopo Tanzania ni kati ya Simba na Yanga tu

    Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
  3. Adolfms

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Notes au Books za mambo ya umeme wa majumbani

    Naomba mwenye access ya vitabu vinavo husu namna ya kusuku umeme wa majumbani
  4. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  5. Chale david

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kubadili kozi ngazi ya cheti nmesoma human resources alafu diploma nataka kusoma bussness administration naweza badilisha?

    Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
  6. Davey15

    JamiiForums Tanzania Naomba ufananuzi wa huu muda walioweka sekretarieti ya ajira kwenye interview

    Naomba wanajamvi mnipe ufanunuzi huu muda wa interview hapa walipoweka saa 1:00 am je hii saa ngapi? je ni sahihi au wamekosea
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu wauza nguo Ilala

    Habari zenu wanajamii, naomba kuuliza kuhusu wale jamaa wa pale Ilala Boma wanaouza nguo kwa kutaja bei hususani zile tishet, huwa wanazitoa wapi maana huziweka kwenye mifuko tu ya kawaida zikiwa zimekunjwa vizuri. Je zina ubora upi au kuna kaujanja wanafanya.
  8. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kufuga kuku Hawa!

    Habari za mids hii Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa Sasa naomba kuuliza utaratibu ukoje kuhusu chanjo Ni ipi na Kila baada ya muda gani , je wakiwa...
  9. FirstbornTz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupata Nafasi ya Kazi kwenye Ofisi yoyote, NGO au Microfinance

    Asante sana. Nilishafanikiwa kupitia jamii forum kupata nafasi
  10. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu HONOR X9B

    Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu. 1. Ubora wake 2. Upatikanaji wake 3 bei yake. 4. Wapi niipate NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
  11. sakasaka

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufanya Configuration ya TV Box aina ya D Sport D1

    ...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili Jambo langu la Ijumaa likamilike naomba anayejua vinapopatikana Vifuatavyo aniambie upesi

    1. Njiwa Weusi tu wanaotamia 2. Kucha za Fisi Jike 3. Mkojo wa Mamba 4. Jasho la Chatu 5. Bendera ya Taifa lolote la nchi za Kiarabu ila ikipatikana hasa ya Egypt ( Misri ) Itapendeza zaidi 6. Mate ya Kifaru Dume na yachukuliwe akiwa anakuangalia kipindi ana Njaa sana 7. Ulimi wa Mjusi...
  13. Prof Nasibu

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!?

    Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!? nipo magomeni natafuta mwekezaji, nyumba ni yangu mwenyewe.
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kulielewa jambo hili

    Kwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa. Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Dini zote naomba mnijibu maswali yangu

    Naomba nieleweke mimi ni muislamu sijaleta swali kwa lengo la kukejeli ila nataka ufahamu zaidi sitaki kubakia kweny kuta moja kweny hoja hzi. 1, Kwanini mungu hakuleta dini tunazotetea toka kuumbwa kwa huyu adamu? 2, Inakuwaje amewaacha binadamu katika sitonfamu ya imani? 3, Kwanini mitume...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya ufanisi wa drilling rig zinazouzwa Alibaba

    Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari. Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji. Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei zao zinaweza kuzidi urefu wa mlima Kilimanjaro. Katika kuzuru huku na huku nikakuta sana za kazi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nakosea wapi kwenye kuconnect hii form na database

    Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database. Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS Na huu ndiyo code yangu ya HTML <!DOCTYPE html> <html lang="en"> <head> <meta charset="UTF-8"> <link rel="stylesheet" type="text/css"...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa swali langu, sitapenda kejeli kwa wajibuji

    Za muda wadau!moja kwa moja kwenye swali "Hivi kinachotuangaisha binadamu katika harakati za maisha kinatokana na historia(sayansi)? Au maisha ya sasa(uvumbuzi) au maisha ya baadae(dini au maandiko) naomba aloelewa ajibu na kama hujaelewa naomba tumia muda kusoma NK kwenye mabano ni ufafanuzi...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
Back
Top Bottom