Msemaji Mpya wa Serikali Mobhare Matinyi naomba uanze na Mfupa huu Kiufafanuzi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,727
109,294
Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan?

Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu Mfupa ili GENTAMYCINE niamini kuwa hiyo nafasi utaiweza na unaistahili.

Ushauri
Kwakuwa hivi sasa kwa unafiki na kujipendekdza kwenu kila kitu mnataka kukinasibisha (Kukiunganisha) na Rais Samia basi GENTAMYCINE nashauri hata jina la nchi tulibadili na iitwe Samia Country na kila Kitu kilichopo Tanzania kibadilishwe na kianze na neno/ jina la Samia sawa?

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!
 
  • Thanks
Reactions: apk
Nimeangalia mechi za Yanga na mechi za timu nyingine Afrika na Europe, Yanga hii inacheza vizuri kuliko Manchester United, Chelsea na Al-Ahly.
 
Back
Top Bottom