Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Swali # 1.

Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa kupewa Bahasha na Mdhamini wao Mkuu hata Wao Ubingwa wao ulikuwa ni wa Tigo Pesa na walifaidika mno na Maamuzi ya Waamuzi kwa Kuwapendelea?

Swali # 2

Kwanini Waamuzi hawa hawa wakiwa Wanaboronga ( tena vibaya sana ) katika Mechi za Vilabu vya Kati na vya Chini vya NBC Premier League huwa hamjadili kahisa au hata mkijadili huwa mnatoa Airtime ndogo tofauti na Tukio hilo likitokea kwa Timu iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ( kama GENTAMYCINE nilivyobarikiwa nae Shani nyingi ) na Bingwa Mtarajiwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ya Simba Sports Club?

Nasubiria majibu yenu hapa JamiiForums kuanzia sasa nikiwa na uhakika kuwa Wengi wenu ( 95% ) huwa mnanisoma na kunifuatilia sana GENTAMYCINE hapa Jamvini JF.

Namalizia kwa Kuwakumbusha / Kuwakumbusheni kuwa hadi hii Leo Mzuguko wa Ligi Kuu ya NBC umefikia Michezo Mitano na Jedwali linasimama kama ifuatavyo....

1. Timu ya Mungu SSC 15 pts
2. Timu ya Wanafiki Barafu SC 13pts
3. Timu ya Wendawazimu Frog SC 12pts

Na Timu inayoshika Mkia ni Walegeaji Pwani Umoja FC yenye Alama ( Points ) zinazotia Huruma Kuzitaja na Kuziandika hapa.
 
Miongoni mwa sifa zilizokupandisha thamani JF ni kuwa Mkweli na Kusimamia ukweli hata kama unapousema unaumiza upande wako. Kwa Leo imekuwa tofauti Sana na tabia yako ya asili ya kusema kweli daima nawe umeanza kutafuta justification kwenye suala linalopindisha haki hata kama Lina faida Kwa upande unaoupenda.
Badala ya kukujibu maana Mimi si miongoni mwa wachambuzi uliowatag, nami nikuulize;
Goli walilonyimwa Singida FG ni halali si halali?
 
Acha kuwaza mpira kila mda
Muombe muamba wako siku za ujana wako.
Haya maisha ya dunian yasikupotoshe
 
Miongoni mwa sifa zilizokupandisha thamani JF ni kuwa Mkweli na Kusimamia ukweli hata kama unapousema unaumiza upande wako. Kwa Leo imekuwa tofauti Sana na tabia yako ya asili ya kusema kweli daima nawe umeanza kutafuta justification kwenye suala linalopindisha haki hata kama Lina faida Kwa upande unaoupenda.
Badala ya kukujibu maana Mimi si miongoni mwa wachambuzi uliowatag, nami nikuulize;
Goli walilonyimwa Singida FG ni halali si halali?
Clear Goal 100%, ila nataka sasa urejee katika hayo Maswali yangu Mawili kwani nina maana yangu Kuntu Kuyauliza nikiwa na dhana ya kutuma Ujumbe kuwa tatizo siyo la Vilabu hivi Vikubwa Viwili Kubebwa ila ni kwa Taasisi fulani na Wadau fulani wa Mpira nchini.
 
Ukitaka kujua marefa hawana aibu, kuna mpira ulipigwa goal kick kutoka lango la Simba ulimkuta Luis kibonge Nickson akiwa amezidi zaidi ya mita 10. na Refa na msaidizi wote waka kausha
Ilibidi beki wa Singida Nicholaus Wadada amkimbize Luis mpaka aka mkuta na kumnyang'anya mpira.

Ivi inawezekana vip offside kama ile refa au line 2 wasiweze kuiona na wakapeta?
 
Kikubwa tumpe Rage tuzo

Mbumbumbu
 
Ila hukuiona Aibu ya Yule Refa wa Kike ( na nadhani ni huyu huyu kama sijakosea ) katika Mechi yenu ya Msimu uliopita au ule wa juzi Mkoani Mwanza aliwapeni Penati baada ya Mchezaji wenu Kukwatuliwa nje kabisa ya Box ( tena mbali kabisa ) na mkashinda Goli hilo hilo Moja.

Acha Unafiki tafadhali. Nakiri kuwa Goli la Singida Fountain Gate FC leo lilikuwa ni halali 100% ila GENTAMYCINE nataka hapa tujadili kwanini Simba na Yanga zinabebwa na Suluhu yake ni nini na siyo Kuchangia Kimahaba ya Timu ( kama ulivyofanya ) huku ukisahau pia kuwa hata Yanga SC yako nayo ilibebwa mno Misimu miwili liyopita na hili ni Mpumbavu na Mwendawazimu tu pekee atabisha / atanibishia.

Badilika tafadhali.........!!
 
Clear Goal 100%, ila nataka sasa urejee katika hayo Maswali yangu Mawili kwani nina maana yangu Kuntu Kuyauliza nikiwa na dhana ya kutuma Ujumbe kuwa tatizo siyo la Vilabu hivi Vikubwa Viwili Kubebwa ila ni kwa Taasisi fulani na Wadau fulani wa Mpira nchini.
Vipi ile ya bonge mikson yeye na kipa akakosa mwenyewe ila refa alishamuachia aondoe gundu 😀
 
Ila hukuiona Aibu ya Yule Refa wa Kike ( na nadhani ni huyu huyu kama sijakosea ) katika Mechi yenu ya Msimu uliopita au ule wa juzi Mkoani Mwanza aliwapeni Penati baada ya Mchezaji wenu Kukwatuliwa nje kabisa ya Box ( tena mbali kabisa ) na mkashinda Goli hilo hilo Moja.

Acha Unafiki tafadhali. Nakiri kuwa Goli la Singida Fountain Gate FC leo lilikuwa ni halali 100% ila GENTAMYCINE nataka hapa tujadili kwanini Simba na Yanga zinabebwa na Suluhu yake ni nini na siyo Kuchangia Kimahaba ya Timu ( kama ulivyofanya ) huku ukisahau pia kuwa hata Yanga SC yako nayo ilibebwa mno Misimu miwili liyopita na hili ni Mpumbavu na Mwendawazimu tu pekee atabisha / atanibishia.

Badilika tafadhali.........!!
Usisahau Medi Kagere alichezewa rafu na Kelvin Yondan nje ya 18 pale Kwa mkapa na mwamuzi Jonisia Lukyia kuwazawadia Simba Penalt iliyofungwa na Meddy Kagere.
Heko kwa Mapinduzi Balama aliye isawazishia Yanga kwa mkwaju mkali wa mita 40.
 
Mkuu, kuita Simba Timu ya Mungu ni kumdharau Mungu wa Majeshi na Mungu aliyeumba Roho yako.

Mungu Hana timu ya mpira hapa duniani, Mungu atabaki kuwa Mungu, rekebisha hapo.
Swali # 1.

Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa kupewa Bahasha na Mdhamini wao Mkuu hata Wao Ubingwa wao ulikuwa ni wa Tigo Pesa na walifaidika mno na Maamuzi ya Waamuzi kwa Kuwapendelea?

Swali # 2

Kwanini Waamuzi hawa hawa wakiwa Wanaboronga ( tena vibaya sana ) katika Mechi za Vilabu vya Kati na vya Chini vya NBC Premier League huwa hamjadili kahisa au hata mkijadili huwa mnatoa Airtime ndogo tofauti na Tukio hilo likitokea kwa Timu iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ( kama GENTAMYCINE nilivyobarikiwa nae Shani nyingi ) na Bingwa Mtarajiwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ya Simba Sports Club?

Nasubiria majibu yenu hapa JamiiForums kuanzia sasa nikiwa na uhakika kuwa Wengi wenu ( 95% ) huwa mnanisoma na kunifuatilia sana GENTAMYCINE hapa Jamvini JF.

Namalizia kwa Kuwakumbusha / Kuwakumbusheni kuwa hadi hii Leo Mzuguko wa Ligi Kuu ya NBC umefikia Michezo Mitano na Jedwali linasimama kama ifuatavyo....

1. Timu ya Mungu SSC 15 pts
2. Timu ya Wanafiki Barafu SC 13pts
3. Timu ya Wendawazimu Frog SC 12pts

Na Timu inayoshika Mkia ni Walegeaji Pwani Umoja FC yenye Alama ( Points ) zinazotia Huruma Kuzitaja na Kuziandika hapa.
 
Aahaaaa

Naoana ubingwa unatafutwa Kwa Hali na mali

" kuwa Goli la Singida Fountain Gate FC leo lilikuwa ni halali 100% ila GENTAMYCINE nataka hapa tujadili kwanini Simba na Yanga zinabebwa na Suluhu yake ni nini..."
 
Ukitaka kujua marefa hawana aibu, kuna mpira ulipigwa goal kick kutoka lango la Simba ulimkuta Luis kibonge Nickson akiwa amezidi zaidi ya mita 10. na Refa na msaidizi wote waka kausha
Ilibidi beki wa Singida Nicholaus Wadada amkimbize Luis mpaka aka mkuta na kumnyang'anya mpira.

Ivi inawezekana vip offside kama ile refa au line 2 wasiweze kuiona na wakapeta?
Unakumbuka msimu ulopita mpira wa lomalisa uliotoka nje kabisa na ukazaa goli vipi ulilalamika chifu!!!! Kweli nimeamini nyani haoni kundule samahani nimelazimika kuukumbuka huu msemo.
 
Miongoni mwa sifa zilizokupandisha thamani JF ni kuwa Mkweli na Kusimamia ukweli hata kama unapousema unaumiza upande wako. Kwa Leo imekuwa tofauti Sana na tabia yako ya asili ya kusema kweli daima nawe umeanza kutafuta justification kwenye suala linalopindisha haki hata kama Lina faida Kwa upande unaoupenda.
Badala ya kukujibu maana Mimi si miongoni mwa wachambuzi uliowatag, nami nikuulize;
Goli walilonyimwa Singida FG ni halali si halali?
huyu ni mropokaji wa vitu ambavyo vinamuumiza yeye au genta we unaonaje?
 
Ukitaka kujua marefa hawana aibu, kuna mpira ulipigwa goal kick kutoka lango la Simba ulimkuta Luis kibonge Nickson akiwa amezidi zaidi ya mita 10. na Refa na msaidizi wote waka kausha
Ilibidi beki wa Singida Nicholaus Wadada amkimbize Luis mpaka aka mkuta na kumnyang'anya mpira.

Ivi inawezekana vip offside kama ile refa au line 2 wasiweze kuiona na wakapeta?
na mtaumia sanaa round hii ila tunawaomba mjitokeze kwa wingi hiyo tarehe 20 ili mpate somo bure bila ya kulipia ada
 
Clear Goal 100%, ila nataka sasa urejee katika hayo Maswali yangu Mawili kwani nina maana yangu Kuntu Kuyauliza nikiwa na dhana ya kutuma Ujumbe kuwa tatizo siyo la Vilabu hivi Vikubwa Viwili Kubebwa ila ni kwa Taasisi fulani na Wadau fulani wa Mpira nchini.
Ahhhh!
Kama lengo lako kubwa ni hilo nimekuelewa vizuri Sana. Ukichunguza comments zangu kuhusu maamuzi mbalimbali ya marefa likiwemo goli Kona dhidi ya Yanga, penati zisizokuwa penati, Kadi za njano zilizostahili nyekundu dhahiri nk huwa nasisitiza "uwezo wa marefa ni mdogo" halafu ndo lije suala la kuhongwa. Siwezi kulaumu rushwa au upendeleo bila uthibitisho lakini kilicho dhahiri ni kwamba marefa wa kitanzania hawana uwezo kabisa wa kufikia maamuzi sahihi katika matukio mengi, na hili linathibitishwa na jinsi Kamati ya Waamuzi ya CAF inavyowachukilia wa kiwango cha chini na hivyo kutowapanga kuchezesha mashindano Makubwa ya CAF/FIFA. Kama tatizo lingekuwa ni rushwa hapa ndani huko CAF wangefanya vizuri lakini wanaonekana ule msemo maarufu wa "MADHAIFU YA KIBINADAMU" umedhihirika zaidi kwao kuliko nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom