Prof Nasibu Member Aug 12, 2022 27 8 Oct 17, 2023 #1 Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!? nipo magomeni natafuta mwekezaji, nyumba ni yangu mwenyewe.
Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!? nipo magomeni natafuta mwekezaji, nyumba ni yangu mwenyewe.
Excel JF-Expert Member Jul 8, 2011 19,745 10,078 Oct 17, 2023 #2 UBIA maana yake ni Partnership kwa ambao hili neno litawachanganya. Back to topic: Kibongo bongo ukijichanganya na vibaka wa mjini utanyang'anywa eneo lako kuwa makini mjini hapo mkuu. Kesi za ardhi zimekuwa nyingi mno mixer vichaa wa ghafla ndo usiseme
UBIA maana yake ni Partnership kwa ambao hili neno litawachanganya. Back to topic: Kibongo bongo ukijichanganya na vibaka wa mjini utanyang'anywa eneo lako kuwa makini mjini hapo mkuu. Kesi za ardhi zimekuwa nyingi mno mixer vichaa wa ghafla ndo usiseme
Mwanga Mkali JF-Expert Member Jul 8, 2018 1,289 2,414 Oct 18, 2023 #5 Kama nyumba iko potential area for business activities nenda I&M, NMB au CRDB bank utapewa maelezo sahihi
Kama nyumba iko potential area for business activities nenda I&M, NMB au CRDB bank utapewa maelezo sahihi