Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Oct 10, 2023
26
42
Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata?

O level nina dv 2 ya 21 phy D, chem C , bios C na maths D .
 
Umemaliza Mwaka huu na matokeo yametoka kwenu tu?
 
Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata?

O level nina dv 2 ya 21 phy D, chem C , bios C na maths D .
Nina mashaka na chuo chako! Umepata GPA ya tano?
 
Mkuu GPA za nacte hizo wanahesabu mwaka wa mwisho tu yani NTA LEVEL 6, kwahiyo matokeo ya mwaka wa kwanza na pili hayana nafasi kwenye kutafuta GPA hivyo ukipata "A" flat mwaka wa mwisho ndio inakua GPA ya 5. ila pia katika mfumo wa ajabu basi ni huu wa nacte yani awajumlishi matokeo ndo maana GPA nying za nacte ni fake tu.
 
Hivi hii ni kwelii?

Maana nilishangaa mshikaji mmoja karibia kila CAT anapiga zake GPA ya 2.0 havuki hapo wala hashuki hapo.

Cha kushangaza paper la mwisho mwaka wa tatu kakunja GPA ya 4.7
 
Ni kweli mkuu NACTEVET wanamfumo mbovu sana linapokuja swala la kucalculate GPA hizo 5 nyingi ni fake tatizo wanashindwa kubadli mfumo wa GPA ilibidi waweke mfumo wa OVERALL GPA sio hiyo ya kuangalia mwaka wa mwisho tu. hivyo hizo gpa za 5 nyingi hazina uhalisia mkuu.
 
Back
Top Bottom