Naomba Ukweli wa Taarifa hii iliyoko HABARI LEO ya Leo kwani Mimi Siiamini na Sitoiamini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,573
108,930
Inasema.....

Tanzania ya pili kuingiza Watalii duniani.

Iko Ukurasa wa Tatu ( 3 )

Na GENTAMYCINE naomba ikithibitika kuwa si kweli basi upesi sana Mhariri wa Gazeti hili la Habari Leo na Mwandishi wa Habari hiyo anbayo nina uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu mengine hata ya Kufanya Usafi Ofisi zao na hasa hasa Maliwatoni ( Toilet ) kwani wameonyesha Udhaifu mkubwa wa Kiuweledi na Usiovumilika kwa Watu tuliobarikiwa Upeo / Akili na kufuatilia Masuala Mtambuka ya Kidunia Kiumakini sana.
 
huo ni uongo wa waziwazi
 
Sijawahi poteza mda wangu kusoma habari leo
Upesi sana Mhariri na Mwandishi wa Habari hiyo wapangiwe Majukumu mengine hasa ya kufanya Usafi Vyooni / Maliwatoni katika hiyo hiyo Ofisi yao.

Wapuuzi wakubwa sana hawa. Hivi Wametuonaje labda Sisi Wasomaji na Wafuatiliaji wa Mambo hasa haya Mtambuka ya Kidunia?
 
Labda ni promo ya Maonesho ya Utalii, SiTE ( swahili International tourists expo ) inayofanyika mliman city

Ila wangeweka source ingependeza
 
Labda ni promo ya Maonesho ya Utalii, SiTE ( swahili International tourists expo ) inayofanyika mliman city

Ila wangeweka source ingependeza
Walichofanya Habari Leo ni very Unprofessional tena ukizingatia ni Gazeti la Serikali ambalo Kiprotokali kwa msiojua ni kwamba Mhariri wake Mkuu huwa ni Rais wa nchi.

Kama Mdau wa Tasnia nimesikitika.
 
Walichofanya Habari Leo ni very Unprofessional tena ukizingatia ni Gazeti la Serikali ambalo Kiprotokali kwa msiojua ni kwamba Mhariri wake Mkuu huwa ni Rais wa nchi.

Kama Mdau wa Tasnia nimesikitika.
Dah,kafanya kimazoea au kwa makusudi, apate mileage kama hv
 
Inasema.....

Tanzania ya pili kuingiza Watalii duniani.

Iko Ukurasa wa Tatu ( 3 )

Na GENTAMYCINE naomba ikithibitika kuwa si kweli basi upesi sana Mhariri wa Gazeti hili la Habari Leo na Mwandishi wa Habari hiyo anbayo nina uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu mengine hata ya Kufanya Usafi Ofisi zao na hasa hasa Maliwatoni ( Toilet ) kwani wameonyesha Udhaifu mkubwa wa Kiuweledi na Usiovumilika kwa Watu tuliobarikiwa Upeo / Akili na kufuatilia Masuala Mtambuka ya Kidunia Kiumakini sana.
📡

Wamedanganya
 
uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu mengine

Pia wamevunja sheria ya TAKWIMU kwa kunukuu data za uongo na kusababisha kuufanya umma wa watanzania kupewa taarifa zisizo sahihi.

Sheria ya takwimu iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2018 , inaonya mfano gazeti kusambaza takwimu zisizo sahihi.

Pia sheria ya Huduma za Habari:
Sheria ya Huduma za Habari, kwa mfano, inaharamisha “habari za uongo” na “umbea” chini ya kipengele cha 50 na 54 kwa kutengeneza kosa la
“uchapishaji unaopelekea kusababisha uoga na wasiwasi” ambalo linatolewa adhabu ya faini ya shilingi za kitanzania milioni 10 hadi milioni 20 (Kati ya Dola za Marekani 4,350 hadi 8,700).
Lakini kwenye magazeti Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO amepewa hayo mamlaka, sisi tunasema amepewa mamlaka
mengi sana kwa mfano kuhusu usajili kila mwaka unatakiwa ulipie usajili.

“Sasa kulipia kuna leseni nyingine mfano leseni ya biashara ukiipata sasa kwenye chombo cha habari ukitaka kuanzisha gazeti lako lazima usajiliwe, sasa tunaona likishasajiliwa liachiwe ili mradi linafanya kazi kwa mujibu wa sheria.

“Mkurugenzi MAELEZO amepewa mamlaka ya kusajili, kufungia vyombo vya habari kwa wakati wote yeye anapofikiria vinakwenda kinyume"

Pia upande wa matumizi sahihi ya takwimu :

SHERIA TAKWIMU YAFAFANULIWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=Zzjx6OqvqJk
 
Back
Top Bottom