Naomba mnisaidie kupata Nafasi ya Kazi kwenye Ofisi yoyote, NGO au Microfinance

Tengeneza email Nyingine iliyo na jina lako halisi brother. Kazi zimekuwa chache lakini Namna ya uombaaji kazi(ikiwemo kutumia email Kama hiyo) pia huchangia kazi ziwe chache zaidi
 
Tengeneza email Nyingine iliyo na jina lako halisi brother. Kazi zimekuwa chache lakini Namna ya utombanaji kazi(ikiwemo kutumia email Kama hiyo) pia huchangia kazi ziwe chache zaidi
Hakuna makosa kwenye email hiyo... muulize kwanza full name yake nani?! (Yaani majina yake yote matatu) alafu ndo u-judge, kisha soma tena ulichoandika utagundua makosa kwenye comment yako.

Ahsante!
 
Back
Top Bottom