Naomba kufahamu umuhimu wa ukasimishaji wa madaraka kiongozi wa nchi anapokuwa nje ya ofisi!

Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
1,424
4,731
IMG-20231008-WA0004.jpg
 
Huyu mama anapiga kazi bana acha watu wamchukie tub..2025 mama tena
 
Kuna majukumu mkasimishwaji lazima aombe go ahead, mwenye ofisilazima awe briefed kwa kila jambo linaloendelea (rejea enzi za kikwete yupo ulaya na waziri mkuu akiwa mizengo kp) Kukasimisha kwa baadhi ya ofisi ni almost a half.
Halafu hiyo ATCL nadhani nusu imekua booked na gavo means mbuzi wa musa kala shamba la musa
 
Back
Top Bottom