Naomba msaada wa mawazo kitaalamu

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje.

Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi.

Sasa amekuwa akininyima raha na haki ya uhuru binafsi.

Ninapopiga simu au hata kutuma message kwa mtu yeyote yeye yuko mbali anajua na ananipigia uliongea na mtu flani hivi na hivi.

Je, nichukue hatua gani kuomesha hali hii?
 
Kimsingi kunaweza kuwa na assumption tofauti tofauti
Ila kwa kuanzia;
Weka hiyo laini kwa simu nyingine yoyote hata ya tochi, utume messeji au upige uone kama atajua;
Ukitoa mrejesho baada ya kufanya hivyo tutakuwa tumepata pa kuanzia.......
 
Ingia kwenye sehemu ya apps kwenye simu yako then futa apps zote ambazo huzijui
 
Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje.
Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi.
Sasa amekuwa akininyima raha na haki ya uhuru binafsi.Ninapopiga simu au hata kutuma message kwa mtu yeyote yeye yuko mbali anajua na ananipigia uliongea na mtu flani hivi na hivi.
Je nichukue hatua gani kuomesha hali hii?
Unachoweza kufanya ni kufanya restore data upya kwenye cm yko kaka. Nenda kule settings kuna program hyo
 
Pole sana ni vizuri ukatafta namna nzuri ya kuachana na MTU ambaye anakupenda sana then hatua inayofuata mtafute MTU akusaidie kuweka simu yako sehemu salama.

Wanawake wapo too emotionally hivyo Epuka kuwaumiza kihisia unaweza achana naye in positive way
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom