Chukua vidmate simple and fastwana forums, naomba msaada wa kujuzwa app ambayo naweza kushusha video yaani ku (downloard) video youtube, asanteni.
Hii ni nzuri sana. Tena ukipata mod yakeSijaona mbadala wa SnapTube mpaka sasa
Tuma links ya vidmate, maana kwangu inagomaa kila nayo install ni hewaa.Chukua vidmate simple and fast