Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
1,997
7,068
Habari zenu

Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya

Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni

Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu

Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.

Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
 
Tupisheni nyie mkatafute sehemu salama zaidi ya kuishi. Hakuna aliependa au kupanga kuzaliwa kwake. Wale wa kukandia watu kutokana na miaka waliozaliwa wanafeli sana kwasababu hakuna aliependa na kuliruhusu hilo.
Tunaishi kwa kuvumiliana.
 
Habari zenu

Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya

Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni

Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu

Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.

Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Na kizazi cha 2000 je tusemeje wavaaa sokxi za marangirangi na sendo za manyoya a.k.a cha amapiano
 
Back
Top Bottom