Naomba ushauri wa kitaalamu

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje.
Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi.
Sasa amekuwa akininyima raha na haki ya uhuru binafsi.Ninapopiga simu au hata kutuma message kwa mtu yeyote yeye yuko mbali anajua na ananipigia uliongea na mtu flani hivi na hivi.
Je nichukue hatua gani kuomesha hali hii?
 
Pm
 
Back
Top Bottom