Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 507
- 469
Habari wana jamvi..
Hivi karibuni nategemea kufanya wiring kwenye mji wangu, lakini kuna mdau alinipa taarifa kuhusu vifaa vya tronics, kuwa kwa sasa tronic inazlishwa na mchina hivyo uhakika wa ubora ni mdogo.
Akawa amenigusia kuhusu Havells akidai kuwa kwasasa bado inazalishwa na mhindi mwenyewe..
Naomba kujua zaidi mana hata nilipofuatilia niligundua kwasasa Havells wapo na MCL kama distributor wa bidhaa hizo nchini,, ingawa MCL ni distributor wa makampuni kama TAN-UK, BAJAJ, PANASONIC na KADIA
Naomba kufahamu ubora wa vifaa vya HAVELLS
DUKA lilipo na kadhalika.