Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

Mkuu nadhani ungeenda na kadi TRA sio kesi unawauliza wanakupa jibu sahihi maana zipo exemption nyingi kutokana na wao waliomba vip walitolewa yote au walilipa kiasi na pia watapiga hesabu za uchakavu kwa kuwa imetumika hapa na ni gari ya mwaka gani uwezo wake wa cc na vipengele vingine ila inapungua tofauti na kodi ya awali...
 
Umenena vyema. Umeitendea haki taaruma yako or simply your ability to know various things.
 
Thank you nilikuwa natafuta mwangaza kwa mwenye deep understanding cc 2300, YOM 2006.
Mkuu hapa hauwezi kupata jibu sahihi wao watapiga hesabu kwa calculator watakwambia wala sio kesi ukijua unaondoka kwenda kutafuta kodi ulipe...walipewa msamaha kisheria hawakukwepa kodi usiogope kwenda kulipa kodi TRA wanafurahi watu kwenda kulipa kodi..
 
Ongea na TRA wanakuja au unaupeleka huo "mkweche" wakautahthmini.

Sijawahi kuona Land Rover mkweche duniani, shambani kwetu ipo 109 aliyokuwa anendesha babu yangu, na mpaka leo inadunda kuliko gari mpya.
Tuone picha mkuu
 
Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted.

Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover.

Msaada tutani.
Asante kwa swali, kwanza kabisa ilipaswa mwenye gari alipe ile exemption ambayo alikuwa nayo kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa mnufaika. Na huwa tunaangalia toka mwaka alipoingiza hiyo gari mpaka sasa ni miaka mingapi ili kupiga hesabu ya depreciation. Baada ya hapo ndipo wewe mnunuzi unaweza fanya mabadiliko ya jina toka kwa aliyekuuzia kuja kwako.
 
Ruaha Freight Ltd, kampuni yenye leseni ya Uwakala wa Forodha kutoka TRA nitamsaidia kufanya kazi hii kwa ufanisi na uaminifu mkubwa;
Tunapatikana kwa mawasiliano yafuatayo;
Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).
 
Back
Top Bottom