naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani. Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

    Asalaam, Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo. Natanguliza...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa aliyewahi kusajili Mradi TIC

    Habari ya jumapili wakuu. Naomba msaada wa maelekezo toka kwa mtu aliyewahi kusajili mradi chini ya Tanzania Investment Centre (TIC). Ninahitaji kujifunza jambo kwa uhalisia wake hasa katika maandalizi ya nyaraka zinazohitajika.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa masuala ya uwekazaji wa amana na mifuko ya serikali naomba mnijibu swali langu hili

    Nikiwa kama miongoni mwa raia tunaopambana nje ya mfumo rasmi nimefikiria kuwekeza kwenye mfuko wa amana za serikali wa UTT AMIS kwenye scheme ya BOND TRUST FUND ambayo itanipa gawio la kila mwezi. Mfuko huu ili kupata gawio la kila mwezi kiwango cha chini cha uwekezaji ni milioni 10. Lengo la...
  5. JamiiForums Tanzania Nakupenda Mke wangu ila naomba usinipige tena

    Jambo? Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia Ama kweli mapenzi ni kitu chenye nguvu sana, Jamaa leo tukiwa sehemu tumetulia akatuambia kuwa anampenda sana wife wake...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Haya majenereta yanaweza kutoa na kupeleka maji umbali gani?

    Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa

    Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa. Nina asili ya uandishi, utafiti na uanasiasa. Nitakuwa nanyi katika mambo yote yanayohusiana na haya. Ahsanteni.
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi ya MILKSHAKE

    WAkuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa. Mbali na hilo naomba kufahamishwa mchanganyiko mzuri wa juisi inayopendwa na nzuri kwa ajili ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu lingefanywa na mtu wa kawaida angekuwa kashakamatwa

    Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria. Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote. Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wateja wa mazao ya baharini

    Habarini ndugu, naomba kufahamu kampuni au wateja wakubwa wa mazao ya baharini kama vile mwani, jongoo bahari, wachakataji wa samaki, mikoko, Seashell nk. Kiujumla nahitaji kufahamu wale wote ambao wapo kwenye value chain hiyo. Ahsanteni.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bmw 3series GT au 5series GT

    habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo, nahitaji kufungua kampuni ya general cleaning nahitajika kuwa na mtaji wa shingap

    Naomba msaada zaidi kuhusiana na ufunguzi wa kampuni ya usafi (general cleaning)
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini whatsapp GB inaomba udownload official apps? GB inaondolewa?

    Wakuu habarini Nimetumia WhatsApp Gb muda mrefu sasa. Moja ya simu yangu imeomba nitafute official app kwenye playstore. Kabla ya hapo WhatsApp gb nilipatika kwa kudowload through akp kwenye search engine particularly chrome Je, ninkwamba gb whatsapp inatuagaaga au? Wajuzi msaada hapo?
  15. JamiiForums Tanzania Naenda kulipia befoward honda step wgn ya 2011, naomba ushauri

    Naombeni ushauri kuhusu hii gari naenda kuilipia leo. Sina ufahamu wowote nimependa space tu.
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

    Naomba kunichagulia sofa nzuri nataka kununua,na kama una lako zuri zaidi,naomba utume picha kama nitalipenda nitapeleka order kwa fundi. Kingine naomba kuuliza kama miguu ya sofa hizi inadumu? Nina wasiwasi na kuharibika miguu yake, yaani iyo miguu ya sofa. Nasoma comments zenu..... Asante.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini umeme unazidi kukatika ikiwa tumeambiwa Megawatt 235 tayari zimeingizwa kwenye grid ya Taifa?

    Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingizwa kwa grid ya Taifa, sasa mbona umeme ndiyo unazidi kukatika? Naomba ufafanizi wa kina na wa kiufundi tatizo lipo wapi? yaani ukiongeza umeme maana yake kwa akili ya kawaida ni kwamba makali ya mgawo yanatakiwa yapungue sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Leo naomba Saa 3 Kamili Usiku tukimbiane hapa JamiiForums

    Nasisitiza tena kuwa naomba leo Saa 3. Kamili Usiku tukimbiane hapa JamiiForums kwani najua kutawaka Moto mkubwa sana na Watu wartachekana na Kuumbuka mno.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wa kuonana na Kuhani Musa Uso kwa Uso

    Wadau, Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye. Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona...
  20. JamiiForums Tanzania Peter Kupaza na mauaji ya Mwivano Mwambashi, nini ilikuwa hatma ya kesi hii?

    Mwishoni mwa miaka ya 90 kulitokea kesi ya mauaji huko Baraboo Wisconsin iliyomuhusu Peter Kupaza ambaye alituhumiwa kumuua kisha kumchuna ngozi mpwa wake Mwinvano Mwambashi na baadae kuutupa mwili huo katika mto. Bahati mbaya sikuweza kupata hatma ya kesi hii baada ya mtuhumiwa kukata rufaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…