Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,049
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji.

Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua.

Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri aachwe Simba SC atanisamehe ila niseme tu kuwa HANA AKILI.

Bingwa wa NBC Premier League na hata wa ASFC kwa Msimu huu wa 2023/2024 ni ama Yanga SC au Azam FC na Simba SC hatuna chetu mpaka pale Mashariki na Viongozi wetu AKILI zitakapotukaa sawa..

Nitasema UKWELI DAIMA hata kama utanifanya NICHUKIWE au nionekane NATUMIKA au nina CHUKI na Uongozi wa Simba SC.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Mpira ni mchezo wa wazi Kila mwenye kuujua ameona aina ya washambuliaji mliowasajili, kiufupi bado Simba inayo safari ndefu sana kukaa sawa, Kama mshambuliaji anapata shida dhidi ya mabeki wasiokuwa na uzoefu wowote wa mechi kubwa itakuwaje akikutana na mabeki wakatili wa ligi kuu?
Lile goli alilofunga pa jobe ata Kama ungempa konkoni alikuwa anafunga kulingana na position aliyowekewa mpira akiwa peke yake ajakabwa na mchezaji yeyote!
Licha ya asilimia kubwa ya wachezaji wanaoanza kikosi Cha kwanza kucheza bado unaona muunganiko ni tatizo!
Mjipange tu na msimu ujao kwa msimu huu imekula kwenu kwa timu yenu iyo!
 
Timu iko slow sana , timu inapoteza mpira kirahisi...hakuna ile msako ' unatoa hutoi ' sijui tatizo ni benchika au wachezaji?
 
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji.

Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua.

Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri aachwe Simba SC atanisamehe ila niseme tu kuwa HANA AKILI.

Bingwa wa NBC Premier League na hata wa ASFC kwa Msimu huu wa 2023/2024 ni ama Yanga SC au Azam FC na Simba SC hatuna chetu mpaka pale Mashariki na Viongozi wetu AKILI zitakapotukaa sawa..

Nitasema UKWELI DAIMA hata kama utanifanya NICHUKIWE au nionekane NATUMIKA au nina CHUKI na Uongozi wa Simba SC.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
malizia na makundi CAF hatutoboi
 
punguza mapepe na uacha mda uongee,mechi moja tu umeshaanza kuwahukumu wachezaji, alafu unasema unaujua mpira!? Kwanza umeandia porojo tu mimi sijaona point yako hata moja kwanini haujaridhishwa na wachezaji wapya zaidi yakulalamikalalamika hovyo
 
4RENT : CHUMBA MASTER SEBULE
@Mbezibeach_BagamoyRoad; Kutembea hadi kituoni dakika 5
Bei_150,000
Call_ 0716442950;

Chumba ( Master ), Sebule.
Umeme luku wawili, Maji ndani yapo, Fensi ipo

@everyone
1706764098081.jpg
 
Back
Top Bottom