namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Umasikini ulivyonitenga na mpenzi wangu wa utotoni

    Kila nikikumbuka tukio hili moyo wangu huwa unabubujikwa na machozi mithili ya damu ya kuku anayejinjwa, sijui hata ni kwanini ila asikuambie mtu, umasikini mbaya sana! Nakumbuka miaka ya 1990s, baba yangu alipata bahati ya scholarship Marekani, chuo kimoja kinaitwa Yale. Hivyo ilimlazimu...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wa kwenye mitandao, ombeni msaada kwa Wakenya namna ya kupambana na mabeberu. Mnatia huruma

    Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati. Ombeni msaada...
  3. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Wale ambao hatutaoa kamwe tujadili namna ya kuhudumiwa uzeeni

    Ni hali halisi kuwa kupanga ni kuchagua. anayeoa na asiyeoa ni suala la mizani hiyo lakini ni ukweli usiopingika kuwa faida kubwa ya mwenza ni kwamba haujawai kuwepo mbadala wa mke/mme katika huduma za sirini hasa ukiumwa. ndugu na marafik huyeyuka mda wowote. upweke nao huleta kifo cha mapema...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mabenki yangeangalia namna ya kupunguza makali ya uchumi mwezi wa Januari hata kwa kutoa mkopo kidogo

    Tanzania imekuwa kama wimbo. Ikifika Januari kila mtu analia hali ngumu ya uchumi. Miaka na miaka tunalia hii hali bila kuwa na suluhisho la maana. Nashauri benki zingeangalia uwezekano wa kupunguza hii hali hata kwa kutoa mikopo midogo. Mtu hata kama anamkopo benki basi Januari aweze kutop...
  5. yasini jawadu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

    Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
  6. E

    JamiiForums Tanzania CCM, tafuteni namna ya kumshauri Rais Magufuli maana muda mwingine anaumiza sana

    Nimesikiliza hotuba ya mh. JPM baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa madini Prof. S. E.Manya. Moja ya sababu zilizosababisha kuleta huu uzi ili wana CCM wenzangu ambao wanaweza kutafakari uzi huu na ikibidi kumshauri mh. Rais. KIMEJIRI KITU GANI KWA MAONO YANGU? Mh. Rais alizungumzia mambo ya...
  7. Scars

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi namna ya ku-unlock network hizi simu za kijapan SHARP ANDROID ONE S3-SH

    Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupunguza kitambi

    Wadau nimekuwa nikitumia njia kadha kupunguza kitambi ikiwepo kufanya mazoezi kwa bidii,kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi na kufanya diet.Lakini naona juhudi zangu zinagonga mwamba naelekea mwaka bila mafanikio.Mwenye njia ya ziada anisaidie...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa namna ya kumshauri...

    Kuna msg imeingia kwenye simu ya mke wangu ikitoka kwa wifi yake (mke wa mdogo wake) . Clearly ni ya mapenzi akisema wataonana na bla bla zingine; na leo kweli ameamka anasafiri kwenda mjini? Msg ilikuja kwa bahati mbaya maana alikuwa anaongea na mke wangu muda huo huo, hivyo alituma kwa namba...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship

    Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship.
  11. Blue Icon Consultancy

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kuwagawa Wafadhili (Donors' Market Segmentation) kwa Ajili ya Mchakato wa Harambee

    Soko la Wafadhili (The market of potential donors) kwa Taasisi zinazofanya vizuri katika maeneo yao ya kiutendaji ni kubwa. Ili kuwa na ufanisi katika kuliendea soko hili; Taasisi inapaswa kuligawa (market segmenting). Namna rahisi kwa Taasisi kugawa soko la Wafadhili ni kama ifuatavyo; Soko...
  12. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namna ya kumpigia kura Mgombea Urais Tundu Lissu

    Wafundishe wapiga kura namna ya kumpigia Kura mbeba maono Tundu Lissu. Sambaza video hii.
  13. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namna ya kudhibiti uwepo wa vituo hewa/bubu vya kupigia kura katika uchaguzi mkuu - 2020

    Ndugu zangu wana JF; CCM wamejiapiza kuwa John Pombe Magufuli ni lazima ashinde tu uchaguzi huu wa mwaka huu either by hooks or by crooks.. Wagombea wa CCM katika ngazi zote ikiwemo ya Urais, kwa utaratibu wa kawaida kama wakiachwa hivi hivi bila kusaidiwa kushinda kwa njia haramu za wizi wa...
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namna ya kui - outsmart CCM kwenye ishu ya mawakala katika vituo vya kupigia kura

    UTANGULIZI: ¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo: FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea.. FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu v/s Bernad Morrison, hapa hakuna namna ya vibaraka kuhamisha attentions za watu?

    Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana. Je, katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye kampeni sio kwamba watawala wameamua kuanzisha mgogoro ambao utahamisha hisia za wananchi kwenye kampeni...
  16. geniusMe

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupima chumvi kabla ya kuilamba

    kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa chumvi kwenye chakula katika muda wa kula na kujimegea mapochopocho, lakini kumekuwa na swali kubwa sana kwa walaji, je utajuaje kama msosi umekolea chumvi ya kutosha au umezidi sana chumvi mpaka kuharibu ladha na harufu ya msosi wenyewe? The last thing ambacho...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya biashara toka Nairobi

    Wakuu naomba msaada kama kuna namna ya usafirishaji wa bidhaa kutoka Nairobi mpaka Mwanza. Hii ni kutokana na zuio la mipaka tangu kipindi cha Corona. Sasa hatuwezi ingia ila naona bado biashara mbalimbali zinaendelea nami pia nahitaji bidhaa kutoka Nairobi ila sijui wengine wanafanyaje.
  18. anjnr

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada namna ya kudownload vitu kwenye torrent sites

    Habari wakuu.. Naomba msaada wa hatua kwa hatua namna ya kudownload vitu mbalimbali kwenye torrent. nahitaji kuwa na vitu gani /au app gani kwenye pc na nini cha kufanya ili niweze kupakua vitu vya torrents. Natanguliza shukurani
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka sana kuhusu namna ya kuomba kazi zilizotangazwa kwenye system

    Wana Jamii forums elimu heshima Naomba msaada, ninapoingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira, nimekutana na changamoto zifuatazo na nimeshindwa kufanya chochote, email already exist Mara account already exist nimeshindwa kufanya chochote nisaidie jamani mwaka Jana niliomba lakini...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

    Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio. Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria...
Back
Top Bottom