Uchaguzi 2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,922
141,888
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
 
1599556938369.png

Hili ndiyo kundi lililoitikia Mwanza kwa mshinikizo wa walimu wao.
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio...

Nimecheka eti chama kupendwa na wananchi, hapo Kilimanjaro si ndio madiwani walihama kwenda kuunga mkono juhudi, kwenye project haramu ya kina Polepole?

Kama wananchi hawajawapenda hiyo miaka mitano, ndio watawapenda kipindi hiki cha miezi miwili kabla ya uchaguzi? Au ndio hayo ya kunenepeshea ng'ombe mnadani?

Huko Moshi watu walishaamka zamani, huwezi fananisha na hizo sehemu watu wanalala na mifugo ndani.
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio...
Ni matusi makubwa sana kuwalinganisha Kilimanjaro na Dodoma. Na Mwanza ni mukaya. Pata glass yako ya maji angalia utoke na mada ipi tena bwashee, hii siyo, hailipi kabisa.
 
Nimecheka eti chama kupendwa na wananchi, hapo Kilimanjaro si ndio madiwani walihama kwenda kuunga mkono juhudi, kwenye project haramu ya kina Polepole? Kama wananchi hawajawapenda hiyo miaka mitano, ndio watawapenda kipindi hiki cha miezi miwili kabla ya uchaguzi? Au ndio hayo ya kunenepeshea ng'ombe mnadani? Huko moshi watu walishaamka zamani, huwezi fananisha na hizo sehemu watu wanalala na mifugo ndani.
Subiri waje Dodoma kwanza bwashee!
 
Back
Top Bottom