Tundu Lissu v/s Bernad Morrison, hapa hakuna namna ya vibaraka kuhamisha attentions za watu?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana.

Je, katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye kampeni sio kwamba watawala wameamua kuanzisha mgogoro ambao utahamisha hisia za wananchi kwenye kampeni na uchaguzi kwa ujumla kwa kesi ambayo ilishaisha na kama rufaa ingetakiwa ikatiwe kwa Mabeberu na sio hapa.

Naona kama vile wanataka kuanza kumsukasuka mpendwa wa nchi Lissu, so they want to reduce the community attentions to campaign actions?
 
tupo makini kote kote
Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana.je katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye kampeni sio kwamba watawala wameamua kuanzisha mgogoro ambao utahamisha hisia za wananchi kwenye kampeni na uchaguzi kwa ujumla kwa kesi ambayo ilishaisha na kama rufaa ingetakiwa ikatiwe kwa Mabeberu nasio hapa.

Naona kama vile wanataka kuanza kumsukasuka mpendwa wa nchi lissu,so they want to reduce the community attentions to campaign actions?
 
Back
Top Bottom