namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Picha: Tazama namna ya kuongeza na kuimarisha mzunguko wa hewa ya oksijeni mwilini

    https://www.businessinsider.in/science/health/news/covid-19-what-is-proning-and-how-can-it-help-you-increase-oxygen-levels-at-home/articleshow/82251671.cms
  2. BoomBoy

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Namna ya kutuma fedha ghana

    Hello wakuu, Kama kuna Kiongozi ana namna ya kutuma fedha Ghana, na receiver akapokea kwa mobile money, naomba tujulishane
  3. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 330,000/- kwa mwezi

    Wasalaam, Watu wengi maeneo ya mijini vipato vyao ni wastani wa Tsh. 10,000 kwa siku, hii inafanya wengi wafikishe angalau Tsh. 330,000 kwa mwezi. Kwa kipato hiki wapo wanaishi vizuri kabisa kwa familia za watu wachache na wanaishi bila kuwa na madeni. Mchanganuo rahisi ni kama huu hapa chini...
  4. teac kapex

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuunganisha watumiaji wa Youtube wakati video ikiendelea

    Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani...
  5. Kifaru TANZANIAN

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa

    Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
  6. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuondoa harufu mbaya kwenye unga wa Soya uliochanganywa na mahindi

    JF ndio kisima cha maarifa. Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2. Tatizo unga umetoka na harufu mbaya sana, naiondoaje jamani? Wakati huu wa dunia ya kula kwa sababu na malengo soya ni kitu...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Naombe tafsiri ya hiyo ndoto. nitafanyaje?

    Hapo vip!! Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo.. Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana... Nina imani humu...
  8. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza. Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya...
  9. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kuelekeza kero ya namna ya ukusanyaji kodi, Lakini sijasikia kero ya Bodi ya Mikopo wa Elimu ya Juu

    Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016. Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Namna ya kuondoa kutu kwenye tenki la pikipiki

    Msaada kuhusu Kutoa kutu kwenye tenki la pikipiki je nitumie njia gani au Kuna dawa spesho .. . Msaada wandugu
  11. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Namna ya kubadili shirt jeupe kuwa blue

    Habari wadau,poleni na msiba. Nauliza wazoefu wa kubadili shirt la rangi nyeupe kuwa la rangi ya blue,mnatumia ile blue powder ya kipindi kile? Na je nguo itaendelea kung'ara kama awali ikiwa sasa imekuwa ya blue na hizo blue powder bado zinapatikana madukani?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Maelekezo namna ya kununua kontena tupu

    Habarini wadau, Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni. Nawasilisha.
  13. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutrack laptop iliyoibiwa

    Nimeibiwa laptop. Je kuna namna ya ku track au nipotezee tu? Cc Chief-Mkwawa
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana hili la mahindi lilikuwa namna ya kutafuta pakupotezea wadadisi wa mambo

    Kuna mshkaji mtaani tulikua tunajadili changamoto iliyopo kwenye zogo la mahindi baina ya Kenya na Tanzania, akanipa uwezekano wa wazo fulani, naifahamu sana Serikali yangu ya Kenya ikitaka kuficha kitu kwanza huwa na mazoea ya kuibua jambo lingine litakalosababisha migongano ya baina yetu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua habari na taarifa uzushi

    Mitandao ya kijamii imejitokeza na kuendelea kuwa vyombo vya kusambaza habari na taarifa mbalimbali na kwa mifumo mbalimbali. Ili kupata habari na taarifa zilizo sahihi, watumiaji wa mitandao ya jamii wanapaswa kujilinda dhidi ya habari na taarifa za uongo na uzushi. Watumiaji wanaotegemea...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo tuambiane ukweli Vijana wenzangu namna ya kufanikiwa kiuchumi

    Wewe una miaka 40+ bado huna Nyumba, Huna Gari. Hata ukija pata umebakiza miaka 20 au 10 ya kuenjoy. Miaka 40, 50 hukuwa na gari unapata pesa badala uwekeze kwa wanao ndio unaenda nunua gari. Ili iweje sasa? Anyway kama una usafiri endelea kutumia. Huo na Sehemu ya kujihifadhi. Nyumba tunajenga...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kwa ACT wazalendo namna ya kutuma majina ya wateule "wapendekezwa" kwa wakati bila mizengwe!

    Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki. Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumueleza Mtoto kuwa ni Muathitika wa Virusi vya UKIMWI

    Namna ya Kumueleza mtoto: Ni muhimu mzazi au mlezi kwa kushirikiana na mtoa huduma kuandaa mpango wa namna ya kumueleza mtoto hali yake ya maambukizi ya VVU, kabla ya mtoto huyo kupata habari hiyo kutoka vyanzo vingine. Kusikia habari kuhusu hali yake ya maambukizi toka kwa mtu mwingine...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Undani wa ugonjwa wa pumu, dalili na namna ya kukabiliana nao

    Pumu au ‘asthma’ ni moja kati ya magonjwa hatari sana yanayoathiri mfumo wa upumuaji ambao huathiri takriban watu million 130 duniani kote. Ingawa hakuna sababu ya moja kwa moja ya kupelekea kupata ugonjwa huu, utafiti umethibitisha ya kuwa ugonjwa huu hutokea kutokana na sababu kuu mbili, yaani...
  20. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tutashinda Corona kwa Maombi? Hatua za kufuata...

    Modes naomba miufute huu uzi wala kuunganisha kama itawapendeza Imani zetu zinamtaja MUNGU kama wa pekee, asiyebadilika wala kufafanishwa. Mungu alivyotuumba alitupa utashi ambao ndio kitu pengine cha kipekee kinachotutofautisha na wanyama na viumbe wengine. Ukisoma Biblia Takatifu, 2 Wafalme...
Back
Top Bottom