Somo la namna ya kufikiria lifundishwe shuleni na vyuoni

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,310
12,607
Mitaala ya shule za wazungu tangu shule za awali hadi vyuoni Kuna somo linalowafundisha wanafunzi namna ya kufikiria ( critical thinking and problems solving).

Mfano, wazungu wanakwambia there is no free lunch (hakuna chakula Cha bure), lakini watanzania na waafrika wanashindwa kuuelewa huo msemo wa wazungu badala yake wanakwenda kuomba misaada wasaidiwe na wazungu haohao. Badala yake wanashindwa kuona na kukwepa mitego inayoambatana na misaada hiyo.

Wananchi wanashindwa kumtoa madarakani kiongozi au chama kisichowasaidia, kiongozi anaiba mali nyingi huku akifahamu kuwa Tanzania itabaki yeye atakufa. Wananchi watamwimbia hiyena hiyenda kiongozi mwizi na mbadhilifu wa malibzao.

Uwezo wetu wa kufikiria Ni mdogo Sana, ndio maana watu wanawashangaa watu wenye critical thinking kubwa Kama Nyerere, JPM, Mkapa, Lissu, Mboe, na wengine wengi. Wanaona Kama wanakosea kumbe ndio wako sahihi.

Ukosefu wa critical thinking unasababisha watu kutishiwa na kuogopa hata kwa haki zao, kuhongwa fulana tu na hela kidogo wakati wa chaguzi.

Mtu anayefikiria critically hawezi kukubali bunge liwe la chama kimoja, mtu anayefikiria critically hawezi kuhongwa ili achague chama fulani maana anafahamu kwanini anahongwa na anayemhonga atarudishaje hela yake.

Mtu anayefikiria critically atachukua hela aliyopewa kumalizia shida yake lakini kura hampi mtoa rushwa.
 
Mitaala ya shule za wazungu tangu shule za awali hadi vyuoni Kuna somo linalowafundisha wanafunzi namna ya kufikiria ( critical thinking and problems solving)...
Kwani hata masomo kama Mathematics, Physics, Chemistry nk unaweza kufanya maswali yake bila kufikiri?
 
Kwani hata masomo kama Mathematics,Physics,Chemistry nk unaweza kufanya maswali yake bila kufikiri???
Huko ni kufikiri lakini sio kufikiria, kufikiria Ni kutafakari na kutafakari Ni kutambua, kujitambua na kuwatambua walivyosababisha, wanavyosababisha na watakavyosababisha na sababu zao kusababisha na namna ya kujinasua.
 
Walio wengi wanakariri.
Huwezi kuelewa kitu ambacho umekisoma tu kwa makaratasi lakini mtaani kwenu hakipo.
Ukiwa Marekani Kama utapata bahati ya mtu kukufanyia orientation Basi atakufundisha general rules za namna ya kufikiria unapokuwa Marekani. Mfano, atakwambia, Marekani hakuna kitu rahisi au Cha bure, hivyo ukiona Cha bure au rahisi sana kwako fikiria Mara mbilimbili kabla hujakifanya. " Once you find the deal so good think twice"
 
Ni kweli aisee ila bongo watu wake wana pupa sana na kupenda mteremko
Ukiwa Marekani Kama utapata bahati ya mtu kukufanyia orientation Basi atakufundisha general rules za namna ya kufiria unapokuwa Marekani. Mfano, atakwambia, Marekani hakuna kitu rahisi au Cha bure, hivyo ukiona Cha bure au rahisi sana kwako fikiria Mara mbilimbili kabla hujakifanya. " Once you find the deal so good think twice"
 
Ni kweli aisee ila bongo watu wake wana pupa sana na kupenda mteremko
Kama hujuia kufikiria ni rahisi sana mwanaume kubambikizwa mimba ya mtu mwingine. Mfano, unajikuta demu Kali anajitongozesha kwako kuliko ulivyotegemea, kwa mpumbavu atajiona kapata zali la mentali kumbe ndio unaliwa hapo.
 
Kama hujuia kufikiria Ni rahisi sana mwanaume kubambikizwa mimba ya mtu mwingine. Mfano, unajikuta demu Kali anajitongozesha kwako kuliko ulivyotegemea, kwa mpumbavu atajiona kapata zali la mentali kumbe ndio unaliwa hapo.

Kweli mkuu.
Hiyo mitego nimeikwepa mara nyingi sana.
Unakuta demu anakushobokea ghafla anaanza kukuchekea chekea kumbe kuna mtego wake.
Kama hujuia kufikiria Ni rahisi sana mwanaume kubambikizwa mimba ya mtu mwingine. Mfano, unajikuta demu Kali anajitongozesha kwako kuliko ulivyotegemea, kwa mpumbavu atajiona kapata zali la mentali kumbe ndio unaliwa hapo.
 
Viongozi wetu wa Africa wanafahamu kuwa watu wao hawana elimu ya kufikiria kwa kina, ndio maana wanafanya wanavyotaka milele bila bughuza.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Critical thinking and problem solving mbona inafundishwa mashuleni,kwenye somo la civics topic ya life skills ambayo ipo kuanzia form one mpaka four
 
Mtu anayefikiria hawezi kupanda bodaboda isiyo na site mirrors, helmet, honi na bima. Mtu anayefikiria critically anapigia kura mgombea na chama kwa kuangalia kwanza maslahi yake binafsi, kisha familia yake, kisha ndugu zake, kisha mtaa wake, kisha kata yake, kisha tarafa yake, kisha wilaya yake kisha mkoa wake kisha Kanda yake kisha nchi yake kisha East Africa , Africa na then dunia.

Yaani anapigia kura kile kinachomguza zaidi yeye Kama vile maji, afya, barabara, Usafiri umeme, flyovers, amani na utulivu anaoupata yeye au atakaoupata kupitia mgombea huyo. Mfano, Kama Mimi mtaa wangu hauna maji siwezi kumpigia kura mgombea ambae hakuleta au hataleta maji kwenye mtaa wangu.
 
Safi sana.
Kwa kuongezea hapo mtu anayekariri yeye ataangalia rangi ya chama na kuweka tick kwenye viboksi vyote vyenye rangi ya chama hicho bila kuchambua ufanisi wa hao wagombea.
 
Utakijuaje kitu bila kukielewa?

Utathibitisha vipi kwamba huyu mtu anakijua hiki kitu ila hajakielewa?
Kwa mfano mtu anayekariri anajua kwamba magufuli anajenga flyovers,treni za mwendokasi na barabara. Lakini mtu aliyeelewa atakwambia kodi zetu zinajenga flyovers,treni za mwendokasi,barabara ila magufuli amejitahidi kusimamia kodi zetu.

UMEELEWA SASA TOFAUTI YA KUKARIRI NA KUELEWA NDUGU?
 
Back
Top Bottom