geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,312
- 1,773
kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa chumvi kwenye chakula katika muda wa kula na kujimegea mapochopocho, lakini kumekuwa na swali kubwa sana kwa walaji, je utajuaje kama msosi umekolea chumvi ya kutosha au umezidi sana chumvi mpaka kuharibu ladha na harufu ya msosi wenyewe? The last thing ambacho mlaji anahitaji ni kula chakula kibovu na kujikuta anatapika na kuharisha.
Hii ni moja ya njia ambayo walaji na wanywaji wa mchuzi wa nyama hutumia kabla ya kuweka kipande cha nyama mdomoni , chukua kidole chako chovya kwenye mchuzi kisha ingiza mdomoni kwa mpishi mwenyewe , ukiona mpishi anapata tabu kufurahia ladha ya mchuzi wake mwenyewe , jua chumvi imeharibika na mchuzi haupaswi kulambwa chumvi sio chumvi tena.