Namna ya kufanya biashara toka Nairobi

Aug 5, 2017
15
11
Wakuu naomba msaada kama kuna namna ya usafirishaji wa bidhaa kutoka Nairobi mpaka Mwanza. Hii ni kutokana na zuio la mipaka tangu kipindi cha Corona.

Sasa hatuwezi ingia ila naona bado biashara mbalimbali zinaendelea nami pia nahitaji bidhaa kutoka Nairobi ila sijui wengine wanafanyaje.
 
Naelewa kwa upande wa nguo ila upande mwingine sijui. ..wafanyabiashara wengi hapo Mwanza wanaofata nguo Nairobi wanakua na watu wao kule wanaowafungia mizigo so issue inayofanyika mfanya biashara wa Mwanza anapiga kwa mwenye Mali huko Nairobi (wale wasomali wenye maduka) then anamfungia mzigo wake anakabidhi mwenye gari (wenye magari pia wengi wana maduka Yao ya nguo Mwanza ) then mzigo unasafirishwa kuja Mwanza.

Ila usihofu Kenya wameiongeza Tanzania moja wapo ya nchi ambazo hawatakaa karantini so ukienda unafanya shughuli zako unarudi , kila la herii....
 
Back
Top Bottom