Naomba Msaada namna ya kudownload vitu kwenye torrent sites

anjnr

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
539
208
Habari wakuu..

Naomba msaada wa hatua kwa hatua namna ya kudownload vitu mbalimbali kwenye torrent. nahitaji kuwa na vitu gani /au app gani kwenye pc na nini cha kufanya ili niweze kupakua vitu vya torrents.

Natanguliza shukurani
 
Habari wakuu.. naomba msaada wa hatua kwa hatua namna ya kudownload vitu mbalimbali kwenye torrent. nahitaji kuwa na vitu gani /au app gani kwenye pc na nini cha kufanya ili niweze kupakua vitu vya torrents. natanguliza shukurani
Kwa njia rahisi kwa mtu ambae anaanza

1. Utatakiwa uwe na download manager yenye uwezo wa kudownload torrent, vyema utumie free download manager, yenyewe inadownload torrent, download za kawaida na hata youtube.

Utaipata hapa
Free Download Manager - download everything from the internet

2. Utatakiwa uwe na website ambayo content za torrent zinapatikana, website ambayo ipo active na nzuri kwa sasa ni hii hapa
1377x | Download torrents | 1337x.to | 1377x.to

3. Jinsi ya kudownload utatembelea hio website ama site nyengine ya torrent kisha utasearch unachotaka kisha click alama ya sumaku ama neno magnet itaanza kudownload.

Muhimu torrent inatumia mfumo wa seeders na leecher, hakikisha file husika lina seeders wa kutosha, kama halina download yako haitamalizika.
 
Asante chief mkwawa, nimewewza kutumia hiyo free download manager kwa torrent ila nimeshindwa kuitumia kwa youtube..., nikiingia YouTube haitokezi kama ilivyo kwa idm..., kuna namna ya kufanya iweze capture video za YouTube?
 
Hivi youtube si una right click then unabofya copy URL unatupia zako Y2mate downloader kwisha habari..hata sio kazi
 
Asante chief mkwawa, nimewewza kutumia hiyo free download manager kwa torrent ila nimeshindwa kuitumia kwa youtube..., nikiingia YouTube haitokezi kama ilivyo kwa idm..., kuna namna ya kufanya iweze capture video za YouTube?
Hii sio advanced kama idm, ili kudownload youtube unacopy url then ukija kwenye downloader una add url na kupaste ya youtube itakuletea option ya kudownload.
 
Mkuu sorry kwa nje ya mada..nina tecno spark2..kila nkiiunlock..ile display inakua dark for 2 seconds then inakua normal..na hili tatizo huja usiku tu.
Ila mchana huwa normal..msaada please
 
Kama brightness ipo auto jaribu kuweka manual uwe unaongeza na kupunguza mwenyewe uone kama itasaidia.
 
Hivi mkuu seeders na leechers kazi yake nini mkuu kwenye torrent.
Download ya kawaida huwa kitu kinatoka kwenye server unaletewa moja kwa moja kwenye computer, mfano server ipo marekani unadownload game Tanzania kile kitu kitatolewa marekani na internet na kuletwa Tanzania kwako.

Torrent yenyewe ufanyaji kazi wake upo tofauti haitumii server za kawaida mfumo wake unaitwa p2p ambapo watu mnapeana wenyewe downloads bila kushirikisha server maalumu. Hapa ndio unapata vitu vitatu.

1. Seeders, hawa ni watu ambao file unalodownload wanalo tayari kwenye computer zao na wanawagaia wenzao.

2. Leechers, hawa ni watu wanaodownload hilo file, hawajamaliza kudownload.

3. Tracker, hii kazi yake ni kuangalia computer mbalimbali duniani nani ana hilo file na nani analidownload.

Trackers zipo mbalimbali zipo za the pirate bay, rarbg, 1337x, kissass etc, hivyo pengine ukadownload file halina seeders ila ukabadili tracker seeders wakaja na ukaweza kudownload.

Kila mtu anaweza kuwa seeder ama leecher, wewe ukiwa unadownload ni leecher ila ukimaliza kudownload usipostop hilo file unakuwa seeder na mtu mwengine duniani akitaka kudwnload internet yako itatumika kumpa huyo mtu hilo file.
 
Wakuu naombeni kujua ikiwa kuna namna ya kufanya ama kuweza kupata seeders za kutosha ikiwa movie flani ina chache?
Chief-Mkwawa
Ipo njia sema sio 100% uhakika.

Kinachosoma seeders na leechers ni tracker, mfano unadownload movie piratebay ina maana tracker wa pirate bay ndio anaunganisha wale seeder na leecher.

Lakini kuna uwezekano movie hio hio ipo 1377x ama rarbg kwa tracker mwengine na huko ikawa na seeders wengi zaidi.

Hivyo unaweza ukaongeza speed ya torrent kwa kuwa na tracker wengi.

Pia zipo private tracker za kulipia ambazo hata seeder akiwa mmoja si tatizo wanatumia servers kama usenet.

List ya baadhi ya trackers
Code:
udp://wambo.club:1337/announce

udp://tracker.dutchtracking.com:6969/announce

udp://tc.animereactor.ru:8082/announce

udp://tracker.justseed.it:1337/announce

udp://tracker.leechers-paradise.org:6969/announce

udp://tracker.opentrackr.org:1337/announce

https://open.kickasstracker.com:443/announce

udp://tracker.coppersurfer.tk:6969/announce

udp://open.stealth.si:80/announce

http://87.253.152.137/announce

http://91.216.110.47/announce

http://91.217.91.21:3218/announce

http://91.218.230.81:6969/announce

http://93.92.64.5/announce

http://atrack.pow7.com/announce

http://bt.henbt.com:2710/announce

http://bt.pusacg.org:8080/announce

https://tracker.bt-hash.com:443/announce

udp://tracker.leechers-paradise.org:6969

https://182.176.139.129:6969/announce

udp://zephir.monocul.us:6969/announce

https://tracker.dutchtracking.com:80/announce

https://grifon.info:80/announce

udp://tracker.kicks-ass.net:80/announce

udp://p4p.arenabg.com:1337/announce

udp://tracker.aletorrenty.pl:2710/announce

udp://tracker.sktorrent.net:6969/announce

udp://tracker.internetwarriors.net:1337/announce

https://tracker.parrotsec.org:443/announce

https://tracker.moxing.party:6969/announce

https://tracker.ipv6tracker.ru:80/announce

https://tracker.fastdownload.xyz:443/announce

udp://open.stealth.si:80/announce

https://gwp2-v19.rinet.ru:80/announce

https://tr.kxmp.cf:80/announce

https://explodie.org:6969/announce
 
Asante Mkuu kwa kufafanua.
 
Mkuu unashule hatari!

Back
Top Bottom