Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30
Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00
Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania.
Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching.
Itakua machozi jasho na...
Habari wakuu?
Heri ya mwaka mpya.
Niende moja kwa moja kwenye mada,ni hivi ninahitaji mtu mwenye uwezo wa kutengeneza WIREFRAMES kisha azipeleke kwenye MOCKUPS halafu atengeneze CLICKABLE-PROTOTYPES.
Kama una uwezo na upo tayari njoo DM.
NB:
Sio lazima uwe umesomea, as long as unauwezo wa...
Wakuu
NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali.
Mwenye nayo anicheck- PM
Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu!
Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni.
Mfano:
■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
Habari ya asubuhi ndugu zangu, yoyoye anaemjua supplier mzuri wa mchele anichek kwa number: 0783 242247
Tumepata emergency therefore is very urgent to get it today or tomorrow.
Vigezo ni kama ifuatavyo:
1. Awe in Dar Es Salaam
2.Mchele uwe in packs of 25kg
3.Mchele uwe na sticker/lable...
Nahitaji Carina Ti ambayo
Ni namba C au D
Iwe haijawahi pata ajali
-Iwe haijawahi rudiwa rangi na haijawahi funguliwa box na Engine
Bajeti yangu ya kununua ni Mil 3
Habari wana JF?
Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi
Ahsante!🙏
Wakuu nahitaji msaada Mganga wa kuunganishwa na mganga atakayeweza nisaaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa, pamoja na kuwa adhibu wahusika, Malipo ni baada ya kazi (vitu kurudishwa na wahusika kufahamika)
Natanguliza Shukrani
Habari za Jioni hii ndugu WanaJf wenzangu.
Natumaini mko poua kabisa na mko katika mapumziko baada ya kazi za siku nzima.
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course. Kwa ufupi mimi nimwajiriwa kwenye shirika la umma ambaye nimesomea...
Habari Wakuu. Kuna mzigo uko bandari ya Dar nahitaji usafiri wa kupeleka Lusaka, Zambia. Ni kiasi cha Tani 900. Nahitaji malori yenye uwezo wa kubeba Tani 30. Bajeti ni Sh 150,000 kwa Tani. Naomba msaada kwa mwenye connection.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.