Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,677
- 3,401
Habari za Jioni hii ndugu WanaJf wenzangu.
Natumaini mko poua kabisa na mko katika mapumziko baada ya kazi za siku nzima.
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course. Kwa ufupi mimi nimwajiriwa kwenye shirika la umma ambaye nimesomea mambo ya Afya ila Toka nimeajiriwa nimejikuta napata mvuto wa kufanya mambo yanayohusiana na IT kiujumla. Kiufupi napenda sana mambo yanayohusiana na Technology hasa hasa Computer na Vitu vyake nikimaanisha Iformational technology.
Sasa nimefikia mamuzi ya kutaka kusoma huku naendelea na kazi yangu. Katika Course ninazotaka kujifunza ni Computer Science au Informational technology. Lakini katika hizi course sijajua utofauti wake kwenye nyanja matumizi (applications). Formality ya usomaji nataka kufanya kupitia njia ambayo haitanifanya nisishindwe kutimiza majukumu yangu kazini. Kati ya Kusoma hizo kozi kwa Njia ya "Online" kwenye vyuo vya Nje au kufanya kwa njia ya "Open University" hapa hapa Bongo. Hivyo sasa najua kwenye ninyi tech gurus mnisaidie Tofauti Kati ya Bsc in Computer Science Vs Informational Technology. Na pia mnapojibu hilo swali mniambie hiyo kozi itafaa nikiisoma kwa njia ipi kati ya hizo nilizotaja ????
NATANGULIZA SHUKRANI