Nahitaji usafiri wa transit goods kwenda Zambia

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari Wakuu. Kuna mzigo uko bandari ya Dar nahitaji usafiri wa kupeleka Lusaka, Zambia. Ni kiasi cha Tani 900. Nahitaji malori yenye uwezo wa kubeba Tani 30. Bajeti ni Sh 150,000 kwa Tani. Naomba msaada kwa mwenye connection.
 
Do, yaani mpaka hapo hujui namna ya kusafisha mzigo wako ilihali umeagiza ukijua utaufikisha Zambia!.

Okay tumia Tazara kwanza unafuu wa garama na usumbufu mwingine.
 
Kwahio bei tafta maguta ya mchina yale 😅 yatafikisha mzigo salama!

Hio hela ni gharama za diesel na vibali tu bado hela ya biashara kwa mwenye kampuni na mshahara wa dereva!😅
 
Tatizo ni budget. Bei zimekuwa juu. Asante kwa ushauri
 
Kwahio bei tafta maguta ya mchina yale 😅 yatafikisha mzigo salama!

Hio hela ni gharama za diesel na vibali tu bado hela ya biashara kwa mwenye kampuni na mshahara wa dereva!😅
Sawa mkuu nitajiiongeza kidogo. Na vipi kama nitakuwa na mzigo mwingine wa kutoka Lusaka kuja Dar ili gari zije nao, what is the best price for a two way trip per 30 tonnes truck?
 
Usd 70/t ni gharama ya kusafirisha mzigo kutoka dar mwanza mwamba mkuu.

Je unajua umbali na diesel inayotumika dar port mbaka Lusaka.?
Dar to tunduma ni km 920, tunduma to Lusaka ni km 1,023 . Nani apeleke gari kwa 150,000 kwa tani bro.

Next time theory nzuri ya kutaka kujua approximation ya gharama ya kusafirisha chukua numbers of kilometers unazotaka mzigo uende zidisha kwa usd 1.9 mfano dar Lusaka 1943 x 1.9$ = 3690usd.

Najua utakuwa umepata mwanga kiduchu
 
Mkuu iko hivi Bei ya kwenda Zambia au Congo inajulikana na pia Bei ya kutoka Zambia au Congo inajulikana kutoka dar kwenda au kutoka Zambia kurudi hivyo Wala usipate shida wewe Kama hela ipo sema upewe connection ya magari na sio kazi ya kupatania maana ni kazi zinafanyika kila siku mkuu
 
Habari Wakuu. Kuna mzigo uko bandari ya Dar nahitaji usafiri wa kupeleka Lusaka, Zambia. Ni kiasi cha Tani 900. Nahitaji malori yenye uwezo wa kubeba Tani 30. Bajeti ni Sh 150,000 kwa Tani. Naomba msaada kwa mwenye connection.
150,000 TSH per ton!!? Ur not serious brother,unazijua vizuri gharama za usafiri mpk Lusaka,road tolls,fuel, allowance, permit?

Hebu angalia vizuri chief

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Usd 70/t ni gharama ya kusafirisha mzigo kutoka dar mwanza mwamba mkuu.

Je unajua umbali na diesel inayotumika dar port mbaka Lusaka.?
Dar to tunduma ni km 920, tunduma to Lusaka ni km 1,023 . Nani apeleke gari kwa 150,000 kwa tani bro.

Next time theory nzuri ya kutaka kujua approximation ya gharama ya kusafirisha chukua numbers of kilometers unazotaka mzigo uende zidisha kwa usd 1.9 mfano dar Lusaka 1943 x 1.9$ = 3690usd.

Najua utakuwa umepata mwanga kiduchu
Thanks a lot mkuu. Duniani kila siku ni wasaa wa kujifunza. Ninamshukuru kila mtu ambaye ananipa mwanga kwa swali nililouliza badala ya kunirudishia majibu ya kejeli. Kila mtu ana eneo ambalo ana uelewa nalo. Asanteni sana!

Back
Top Bottom