Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha

Deja vu27

Member
Dec 16, 2021
77
77
Habari wana JF?
Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi
Ahsante!🙏
 
Apa jibu ni subjective
Pc nyingi tunazotumia unakuta vifaa vimetoka kampuni mbali mbali, kampuni kama dell au hp sana sana zina design

cpu imetoka intel au amd
chipset imetoka intel au amd
graphics card imetoka nvidia au amd
motherboard imetengenezwa na foxconn ,asus au gigabyte

Pia je utanunua pc used au mpya?
motherboad yoyote inachoka baada ya mda kwa hiyo kama ukununua mpya kuna uwezekano wa kudumu nayo.

binafsi nishanunua desktop 4 za hp zote zilikufa, moja ilikuwa mpya kabisa.
nikanunua dell optiplex desktop 3 mbili zipo hai.

kwa mtazamo wangu dell na lenovo wana desktop nzuri kwa used, ila kama una uwezo tafuta mpya.
 
Asante mkuu
 
Ni kweli. Last time nimenunua best laptop kutokana na ushauri mujarab kutoka kwa wataalamu wetu hawa wa jf.
Unaweza nisaidia hii elimu kuhusu SSD na HDD na c i3 sijui ndio core nitashukuru sana kwa kuwa sina uelewa navyo🙏
 
Habari wana JF?
Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi
Ahsante!🙏
Wengi wamechangia mkuu, Cha muhimu hapa ni budget yako inarange kiasi gani?

Kama mdau juu alivyosema desktop inatumia vifaa mbalimbali na desktop haifi yote kwa pamoja sababu ni modular, kinakufa kifaa kimoja kimoja, mfano umeme ukizidi itakufa power supply, ukidondosha inaweza kufa HDD, ukimwagia kimiminika inaweza kufa motherboard etc na vyote vinabadilishika.

Pia matumizi yako ni yapi?
 
Kwa matumizi ya internet na photo editing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom