nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukodi "tent" kwa siku moja (16/6/2021) asubuhi hadi mchana

    Wakuu habari, Nahitaji tent la kukodisha kwa kesho siku moja tu. Tent dogo la kawaida futi saba mahali ya tukio ni makumbusho sayansi tuwasiliane kwa namba 0757 563328 tafadhali. Kwa yoyote anayefahamu wanapokodisha au kuniunganisha na wakodishaji asanteni.
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

    Habari za leo wakuu, Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu. Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani? Pia nahitaji kujua aina za cadet (kadet) zinauzwa Tanzania kwa sana. Kadet za kuvutika (elastic) na zile ambazo sio za kuvutika...
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi kuhusu BBI huko nchini Kenya

    Kwa yeyote anaeielewa vzuri BBI nchini kenya anieleweshe, ni kitu gani na dhima yake hasa ni ipi na je inaweza leta athari gani kwenye siasa za Kenya
  4. x - mas

    JamiiForums Tanzania "Malkia wa Ubembe" ni miongoni mwa dini za kiafrika kabla ya ukoloni na hadi leo, nahitaji kuifahamu dini hii kiundani zaidi

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Inasemekana "Malkia Wa Ubembe" ni moja ya dini zetu za asili za kiafrica hata kabla ya ujio wa dini za kisasa za wazungu na waarabu. Dini hii wafuasi wake ni watu kutoka kigoma Tanzania na watu wa mashariki mwa congo. Ningependa kujuzwa mambo yafuatayo kuhusu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flat screen Smart TV Brand Hisense

    Nahitaji mtu anaeuza flatscreen smart TV inch 32 brand Hisense. Napatikana Morocco ATS office eneo la Ada estate. Tunaandikishiana ofisini hapa kabisa. Malipo: Nitalipa kwa two installments in a month. Watsap No:0783 242247
  6. Chimulenge

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wadada wawili wa kuhudumia (ku-serve) chakula Bar

    Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kuserve chakula kwenye bar. Awe mwenye muonekano maridadi. Awe mzoefu na kazi. Awe mchapa kazi. Kazi ipo Dodoma, wakazi wa Dodoma watapewa kipaumbele Mshahara maelewano kwa aliye tayari tuwasiliane 0622723082 Kazi inaanza kesho
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

    Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
  8. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Customer Software

    Nahitaji Customer Software wapi naweza nikaipata. Msaada.
  9. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

    Wakuu nahitaji mwenye kazi anisaidie! Naishi Dar. Malipo walau iwe 4,000 Au zaidi kwa siku. Elimu nilifeli form 4.
  10. Beka hamisi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba

    Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 Elimu: Electrical and Electronics Engineer Makazi: mbezi luis dar es salaam Kazi: Kwasasa bado sijaajiriwa Nahitaji msichana kuanzia umri wa miaka 21 tuwe wachumba mpaka ndoa pia awe muislam, Whatsap:0677452164 Kawaida: 0688862638
  11. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

    Habari 👋🏾 Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies? Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili. Asante.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke umri miaka 20 hadi 27

    Habari wana bodi! Mimi ni mtanzania umri wangu ni miaka 31, nimejiajiri, NAHITAJI mwanamke umri miaka 20 hadi 27 awe anajua nini maana ya familia pia awe mcha dini sichagui kabila rangi wala dini Elimu kuanzia yoyote. Ahsanteni naomba kukamilisha Mwenye nia anakaribishwa.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji jaw crusher mashine ya kokoto

    Wadau naomba kama Kuna mtu Ana jaw crusher ya bei nzuri. Mashine ya kutengeneza kokoto nahitaji kama unayo au pengine unaweza kuniuzia au kukodisha nitashukuru
  14. Kiti Chema

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa mwaka huu

    Habari wana JF. Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu. Sifa zangu. Umri, 27 Dini, mkristo Kazi, fundi Umeme Sifa za mke nimtakaye. Awe mrefu kiasi Umri. 20- 25 Dini. Yoyote Elimu. Yoyote.
  15. Matata25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kutuma maombi NACTE

    Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

    Nawasalimu wote. Kama mada inavyojieleza. Mume wangu amenitaarifu anamleta rasmi mtoto wake ambae alikuwa haishi na sisi kuja kuishi na sisi. Wakati nasubiri siku ifike lazma nijiandae.i. Sina bond nae wala mazoea nae zaidi ya kumuona hiyo mara chache na sio kwamba alikuja nyumbani. Awali...
  17. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni

    Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini. Kama unamfahamu aliye nacho njoo DM au nishtue. viwanja hivyo vinatakiwa mpaka wmezi wa 7 viwe vimepatikana.
  18. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Nahitaji list ya Movie za Magenious

    JMT Wakuu nimetokea kuzipenda movie za magenious( i mean sterling ndo genious mwenyewe.) ni nzuri saana Baadhi ya movie/series nilizoziangalia ni 1.SCORPION 2. YOUNG SHIELDON nimetokea kuzikubali hizi movie Sasa naombeni mnipe list ya movie za maGENIOUS kama hizo. Nawasilisha
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji satelite dish

    Kuna madish fulani makubwa ya silver sana niliona yanatumika Zanzibar. Naweza kuyapata hapa DSM ? Bei yake ikoje?
  20. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la kufungua tuition na nursery School

    Taaluma yangu ni mwalimu, Sina ajira lkn naipenda kazi yangu Sana, Nina wazo la kufungua tuition na nursery School ambayo nitahitaji kufundisha kwa kutumia projector, ila nashindwa mtu wa kunisupport, NAHITAJI support, Contact, Email. wilsonmwamakalapya@gmail.com Whatsup: +25576736103
Back
Top Bottom