Habari za muda ndugu zangu.
Hope weekend yenu imekaa njema
Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada.
Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi inshort huwa nina mipango mizuri mno lakini haijawahi kufanikiwa, unaweza kuongea na mtu akakuahidi...
Habari Wakuu. Nataka kununua shares za kampuni za nje kwa mtindo wa fractional shares (sliced shares). Naomba kama kuna broker aliye Tanzania anayeuza share za kampuni za nje ( primarily USA) tuwasiliane ili niweze kufungua akaunti kwenye brokerage yake. Cha msingi minimum deposit iwe chini na...
Habari zenu wana JF,
Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina tatizo la jipu limenitokea kwenye makalio pemben kidogo mwa njia ya haja kubwa..
Ni kama uvimbe ulio...
Jf ni sehemu ambayo najua inafikika kwa urahisi na kwa haraka kaliko kufika mpaka mjini kupoteza nauli kwenda ofisi za posta kupata taarifa hizi.
Ninataka kufahamu na namba ya kupata Sanduku la barua lengo sio kuandika barua bali kwa ajili ya kupokea vitu ninavyoagiza.Vitu vya msingi kabisa...
Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni.
Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii
Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe
Mshahara : Tshs 150,000/=
Ikiwa unajiona unafaa...
NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=.
Wakuu mambo vipi?
Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao.
Bei isizidi 200,000/=
Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe.
Nipo Dar es Salaam/ Kinondoni.
Habari za leo wanafamilia!
Tuna mgawaha mdogo maeneo ya Chang'ombe maduka mawili Dar, tunahitaj Dada mmoja wa kusaidia kudeliver order na kufata order.
Akiwa anaishi mitaa ya huku au angalau gari moja itakuwa afadhali.
Posho/ mshahara ni Laki 1 kwa mwezi!
Wasiliana na Dada,
0689565965
0655...
Habari Wakuu,
Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic based machines hasa upande wa Transmission na Engine kwa Grader, Excavator, Compactor n.k
🙏🏽🙏🏽
Habari za leo wanafamilia.
Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps.
Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu.
Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania.
Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha...
1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
Habari wakuu,
Ukitoa livescores. biz website gani nyingine inayotoa DETAILS zote za mchezo (live matches) kama ATTACK, BALL POSSITION, SHOTS ON TARGET, CORNERS n.k?
Habarini Wakuu,
Nahitaji kupanda Zabibu miche kama 10 hivi katika eneo linalozunguka nyumba yangu. Nahitaji msaada kwa anayejua hatua kwa hatua za kupanda mpaka kuvuna.
Habari,
Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia.
Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam.
Mawasiliano please PM me your phone number.
Ahsante.
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu ni je naweza kukubaliwa kusoma kwa miez kadhaa then nirudi kazini?
(I.e kusoma foundation 4 months)...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Nahitaji msaada huo kwa mtu mwenye uwezo wa kuandika bussiness plan pamoja na hesabu kwa ajili ya kuombea mkopo anitafute. Nitumie ujumbe kwa namba 0713664912 au Whatsup message kwa namba hiyohiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.