nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdoun

    JamiiForums Tanzania Nahitaji malori mengi yanayorejea Tanzania kubeba mzigo mkubwa hapa Zambia

    Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante.
  2. VIRTUOUS

    JamiiForums Tanzania Nanunua chupa tupu za maji na juice. Kama unazo tuwasiliane

    .
  3. Ashraph Mushi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wa vyuo tofauti,kama upo tayari welcome🙏

    Nipo Chuo kikuu cha Dar es Salaam karibu sana🙏
  4. Shangchi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma CPA

    Habari ndugu zangu, Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu ni je naweza kukubaliwa kusoma kwa miez kadhaa then nirudi kazini? (I.e kusoma foundation 4 months)...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watu wa kuandika bussinessplan na hesabu kwa ajili ya mkopo

    Kichwa cha habari kinajieleza. Nahitaji msaada huo kwa mtu mwenye uwezo wa kuandika bussiness plan pamoja na hesabu kwa ajili ya kuombea mkopo anitafute. Nitumie ujumbe kwa namba 0713664912 au Whatsup message kwa namba hiyohiyo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote, nipo Morogoro

    Habari wakuu, Nahitaji kazi yoyote kwa sasa, kiwango cha elimu yangu ni shahada ya ualimu. Ila nipo tayari kufanya kazi yoyote nipo Morogoro maeneo ya Oil Com.
  7. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtoto

    UNAITWA NANI JUMA ABDUL Toka Wapi ZNZ UNATAKA TUKUOMBEE MUNGU AKUTENDEE NINI JUMA;;;;NAOMBA MTOTO REDIO;!UNA NDOA JUMA!;;;HAPANAAAAA AHSANTE JUMA TUNAOMBEA WATOTO KWENYE NDOA TU TU...... WAZINZI MKOME.KUPIGA SIMU OVYO TUNAOMBEA WENYE NDOA REDION SAWA MUWOWE NDIO TUWAOMBEE WATOTOO...
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji King'amuzi cha Azam Used

    Habari wakuu. Mwenye king'amuzi cha azam used tuwasiliane hasa kama upo Dar au Kibaha Simu 0713-039 875
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Wazalishaji wa Sabuni na Lotion waliosajiliwa TBS

    Habari wakuu, Nimepata soko la supermarkets, kwa kuanzia bidhaa ziwe na TBS kama kigezo cha kwanza. Bidhaa ziwe Sabuni,Lotion, shampoo,mafuta ya nywele na steaming. Zizalishwe Tanzania. Piga 0713 039875 Kwa maelewano zaidi
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa kuzaa naye

    Amani na iwe nanyi! Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae Wasifu wangu 1. Umri : Mtu mzima (Matured)40+ Years 2. Urefu: 5.6 Futi 3. Uzito: 80 Kg. 4. Rangi: Maji ya kunde 5. Kazi: Mjasiriamali 6. Elimu Degreee 7. Polite in nature 8. Hobbies Napendelea Kusoma vitabu (Addicted to reading books) 9. I am...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tiba ya mtu aliyepooza na uvimbe kwenye ubongo

    Wadau nina mgonjwa kapalalaizi tumeenda Muhimbili imesemekana ana uvimbe kwenye ubongo uliosababishwa na TB (kifua kikuu). Mwenye kujua dawa ya kuyeyusha huo uvimbe anisaidie, hata mawazo pia ntayapokea nilimradi nipate pa kuanzia.
  12. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Habari za Leo Wanafamilia! Pole na Majukum, Mm naitwa Hussein, naishi Tandika Magorofan, nna miaka 34, nna mke na watoto watatu. Nnajishughulisha na Ufugaji, utengenezaji dawa za Asili za Kuku na uuzaji wa Kuku, kwa Sasa nimejikita zaidi kwenye Kuku wa nyama kwa kuwanunua directly kwa Wafugaji...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukodi "tent" kwa siku moja (16/6/2021) asubuhi hadi mchana

    Wakuu habari, Nahitaji tent la kukodisha kwa kesho siku moja tu. Tent dogo la kawaida futi saba mahali ya tukio ni makumbusho sayansi tuwasiliane kwa namba 0757 563328 tafadhali. Kwa yoyote anayefahamu wanapokodisha au kuniunganisha na wakodishaji asanteni.
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

    Habari za leo wakuu, Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu. Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani? Pia nahitaji kujua aina za cadet (kadet) zinauzwa Tanzania kwa sana. Kadet za kuvutika (elastic) na zile ambazo sio za kuvutika...
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi kuhusu BBI huko nchini Kenya

    Kwa yeyote anaeielewa vzuri BBI nchini kenya anieleweshe, ni kitu gani na dhima yake hasa ni ipi na je inaweza leta athari gani kwenye siasa za Kenya
  16. x - mas

    JamiiForums Tanzania "Malkia wa Ubembe" ni miongoni mwa dini za kiafrika kabla ya ukoloni na hadi leo, nahitaji kuifahamu dini hii kiundani zaidi

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Inasemekana "Malkia Wa Ubembe" ni moja ya dini zetu za asili za kiafrica hata kabla ya ujio wa dini za kisasa za wazungu na waarabu. Dini hii wafuasi wake ni watu kutoka kigoma Tanzania na watu wa mashariki mwa congo. Ningependa kujuzwa mambo yafuatayo kuhusu...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flat screen Smart TV Brand Hisense

    Nahitaji mtu anaeuza flatscreen smart TV inch 32 brand Hisense. Napatikana Morocco ATS office eneo la Ada estate. Tunaandikishiana ofisini hapa kabisa. Malipo: Nitalipa kwa two installments in a month. Watsap No:0783 242247
  18. Chimulenge

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wadada wawili wa kuhudumia (ku-serve) chakula Bar

    Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kuserve chakula kwenye bar. Awe mwenye muonekano maridadi. Awe mzoefu na kazi. Awe mchapa kazi. Kazi ipo Dodoma, wakazi wa Dodoma watapewa kipaumbele Mshahara maelewano kwa aliye tayari tuwasiliane 0622723082 Kazi inaanza kesho
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

    Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
  20. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Customer Software

    Nahitaji Customer Software wapi naweza nikaipata. Msaada.
Back
Top Bottom